Demi live on muosha rungu TV show!!

Mkuu hizi chick huwa zina mambo ya kishamba sana, yan imekaa kimbeya sana.
Mwanamke mwenye majungu ya kishenzi na mind sana.
Afu nina stress zangu yy ananileteaa maungesee.
Poa faza, ngoja nilale zange joh!!

Sent From Ikulu-Magogoni street

hivi kwan umegombana na nani we General Mangi huyo unaejibizana nae si men kweli>
 
Mkuu hizi chick huwa zina mambo ya kishamba sana, yan imekaa kimbeya sana.
Mwanamke mwenye majungu ya kishenzi na mind sana.
Afu nina stress zangu yy ananileteaa maungesee.
Poa faza, ngoja nilale zange joh!!

Sent From Ikulu-Magogoni street
Asante kwa kuwa muelewa Amigo.
Ebu pumzika mkuu, na kesho ni another day....
 
Mimi sio mtu wa siasa sana lakini naona si sahihi maana uongozi wa nchi si tu kwa baadhi ya makabila bali kwa mtanzania yeyote mwenye uwezo na anaye kubalika.

Well said Mamaa! Yule mheshimiwa alikurupuka kuropoka kutokana na kushikwa degedege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…