General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mkuu hizi chick huwa zina mambo ya kishamba sana, yan imekaa kimbeya sana.Samehe mkuu.....
Mwanamke mwenye majungu ya kishenzi na mind sana.
Afu nina stress zangu yy ananileteaa maungesee.
Poa faza, ngoja nilale zange joh!!
Sent From Ikulu-Magogoni street