RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
Nikiwa under 10 na hata under 20 sijawahi kukosa kitu.
Mpk sasa mwanangu ana 13yrs, kakosa mengi lakini nitafix. Bahati nzuri ananielewa na anayo akili ya maisha.
Pamoja na pocket money..YESUkipa offer hata nchi jirani unaweza kwenda?
Jambo lipi unajutia kulifanya katika maamuz yako magumuSikukurupuka nilimaanisha. Pia nazungumzia hela ya maana kidogo kama 5m na kuendelea.
Kupiga picha za uchi kwa pesa labda nivae mask..na sura yangu hii sithubutu
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Jang'ombe
Sikuishi kama malaika lakini nilipata vitu vyote muhimu kwa wakati, na pia nilipewa malezi sahihi. Sina malalamiko yoyote.seriously ? Hujawahi kosa chochote, certainly uliishi kama malaika.
Unafikiri umekosea wapi sasa hadi mwanao kukosa yote hayo hali wewe ulipata yote ulohitaji.
Sikukurupuka nilimaanisha. Pia nazungumzia hela ya maana kidogo kama 5m na kuendelea.
Kupiga picha za uchi kwa pesa labda nivae mask..na sura yangu hii sithubutu
Sitaweza kuliweka wazi ila nilishawahi kufanya maamuzi magumu ambayo sasa hivi nahisi kama nilikosea. Sijivunii kwa hilo, hakuna nilichonufaika zaidi ya hasara hasa upande wa mtoto.Jambo lipi unajutia kulifanya katika maamuz yako magumu
Lipi unajivunia
Je umenufaika nalo vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tabia za kishetani mla ugoro wwJumamosi tuna shoot demi, mask na kila kitu utakachohitaji vipo, mkwanja maelewano, upo tayari for further negotiation ?
Pamoja na pocket money..YES
Asante demi kwa ushirikiano mzuri Na nakutakia kila la kheri pia nisamehe ikiwa nilikukwaza mahaliSitaweza kuliweka wazi ila nilishawahi kufanya maamuzi magumu ambayo sasa hivi nahisi kama nilikosea. Sijivunii kwa hilo, hakuna nilichonufaika zaidi ya hasara hasa upande wa mtoto.
Pamoja na pocket money..YES
I can abandon anyone in this world but not my daughter! Mark Zuckerberg atuchukue woteImagine baada ya kutoka ukakutana na mark zuckerberg akafall in love kwa demi najua uko tayari kumuacha mumeo 4 him, can you abandon your daughter for him regarding you get anything you need in this piece of shit "earth" .
Hujanikwaza popote kila kitu kimeenda poa.Asante demi kwa ushirikiano mzuri Na nakutakia kila la kheri pia nisamehe ikiwa nilikukwaza mahali
Natumai utaitika tena siku ingine ukihitaji!!
Swali la mwisho unaosha rungu la husband Leo au no!!
Chao!!
Uzi unasonga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulale vyemaHujanikwaza popote kila kitu kimeenda poa.
.
.
Leo rungu halioshwi ni mpaka kesho.
Thank you!
Asante. Shukrani kwako pia.Kila la kheri mama naniliu : Ubarikiwe.
Nawe pia.
Ha haaa leo no kuhudumia ndoa. Niko far awayTunakushkuru mama kwakuonyesha ushirikiano wako.pole napumzika uhudumie ndoa sasa maana mda umenda sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
I love you demiHa haaa leo no kuhudumia ndoa. Niko far away