RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
seriously ? Hujawahi kosa chochote, certainly uliishi kama malaika.
Unafikiri umekosea wapi sasa hadi mwanao kukosa yote hayo hali wewe ulipata yote ulohitaji.
Unafikiri umekosea wapi sasa hadi mwanao kukosa yote hayo hali wewe ulipata yote ulohitaji.
Nikiwa under 10 na hata under 20 sijawahi kukosa kitu.
Mpk sasa mwanangu ana 13yrs, kakosa mengi lakini nitafix. Bahati nzuri ananielewa na anayo akili ya maisha.