Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Hatuna tunachokijua. Tunataka kujua sasa

ah wapi ... m not ready kbs! huu kuna watu wanajifanya MALAIKA!.....siwez wavumilia hata! wanajifanya wanavijua sana viatu tunavyovaa na namba wanazijua kbs! WANAHISI WANATOSHEA MNO MNO KWETU!.. full kunyooshea watu vidole....mie nachokozeka haraka [HASHTAG]#kihisia[/HASHTAG] shogaa!nitakula ban bure! sitaweza vumilia mtu aandike upuuzi!

acheni nature ifanye kazi yake!...
 
Kweli tunataka tufukunyue pia utupe vitu vya kujifunza toka kwako!

DJ sepetu

hahha sikapend hako kavulana #dj sepenga jaman!kuna kipindi nilihis labda mjamzito yaan nilikua nikikaona nasisimka!kaangalie ambavyo hakatulii kanaruka ruka km maharage jikon au cd inayoscratch! uwiiii km knatembelewa na siafu!arghhhhhhhh
 
ah wapi ... m not ready kbs! huu kuna watu wanajifanya MALAIKA!.....siwez wavumilia hata! wanajifanya wanavijua sana viatu tunavyovaa na namba wanazijua kbs! WANAHISI WANATOSHEA MNO MNO KWETU!.. full kunyooshea watu vidole....mie nachokozeka haraka [HASHTAG]#kihisia[/HASHTAG] shogaa!nitakula ban bure! sitaweza vumilia mtu aandike upuuzi!

acheni nature ifanye kazi yake!...
Teh teh..itakuwa tamu kweli interview yako.
 
ah wapi ... m not ready kbs! huu kuna watu wanajifanya MALAIKA!.....siwez wavumilia hata! wanajifanya wanavijua sana viatu tunavyovaa na namba wanazijua kbs! WANAHISI WANATOSHEA MNO MNO KWETU!.. full kunyooshea watu vidole....mie nachokozeka haraka [HASHTAG]#kihisia[/HASHTAG] shogaa!nitakula ban bure! sitaweza vumilia mtu aandike upuuzi!

acheni nature ifanye kazi yake!...
Be strong and humble!
Just ignore them!!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom