Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Embu fanya hivyo nitafurah sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu fanya hivyo nitafurah sana
Embu kubali na wewe uwekwe kikaangoniHAPANA MKUU! asante
Nilikuwa nimeconcentrate kwenye interview. Hapendeki hata kidogo..si kwa fujo zilesasa mbn ulikua humkanyi? bas nikajua unapenda lol
Unaniangusha sasaHAPANA MKUU! asante
Hatuna tunachokijua. Tunataka kujua sasa
Kweli tunataka tufukunyue pia utupe vitu vya kujifunza toka kwako!
DJ sepetu
Teh teh..itakuwa tamu kweli interview yako.ah wapi ... m not ready kbs! huu kuna watu wanajifanya MALAIKA!.....siwez wavumilia hata! wanajifanya wanavijua sana viatu tunavyovaa na namba wanazijua kbs! WANAHISI WANATOSHEA MNO MNO KWETU!.. full kunyooshea watu vidole....mie nachokozeka haraka [HASHTAG]#kihisia[/HASHTAG] shogaa!nitakula ban bure! sitaweza vumilia mtu aandike upuuzi!
acheni nature ifanye kazi yake!...
Be strong and humble!ah wapi ... m not ready kbs! huu kuna watu wanajifanya MALAIKA!.....siwez wavumilia hata! wanajifanya wanavijua sana viatu tunavyovaa na namba wanazijua kbs! WANAHISI WANATOSHEA MNO MNO KWETU!.. full kunyooshea watu vidole....mie nachokozeka haraka [HASHTAG]#kihisia[/HASHTAG] shogaa!nitakula ban bure! sitaweza vumilia mtu aandike upuuzi!
acheni nature ifanye kazi yake!...
Utafanyiwa ya kulazimishwa, mbona utajibu?subutu yako demi! never
Utafanyiwa ya kulazimishwa, mbona utajibu?
Waongee tu wakichoka wakalalehahahaha alafu muosha rungu mbn huwahoji wanaume!khaa
huwajui hawa demi wanataka wapate cha kuongea MMU..
Ha haaa..nitakula BAN shoo