Demiss amepotelea wapi?

Au nae yule mdau akashambuliwe nini?

[emoji2][emoji2][emoji2]

(Utani tuu jamani)
 
Mkuu kwanza kabisa I took no pleasure in it, nilisoma na kuipuuza maana havinihusu.
Ya pm au nje ya Pm yabaki hukohuko haitakuja kutokea mimi kuanika mtu na nimepatana na wengi tu humu.
Kikubwa ni kwamba Kama una maisa yako ishi maisha yako huko uliko sio uje kujianika humu.

Stay low don't bunk to the guys to have spotlight and attention.
Kama angekua anafanya yake kimya kimya asingekutwa na yaliyo mkuta, kosa kubwa alilolifaya hua ana tabia ya Ku-Attack watu humu. Ndio maana anguko lake lilifurahiwa na wengi.
Again; Stay low, if you build in silence your enemy won't know where to attack
 
Sahihisha hapo Mkuu.."Anguko lake lilifurahiwana wengi."

Hivi ki binadamu unaweza kufurahia mabaya yanapompata mwingine? Wakati huo nani amejua yako/yangu?
Nadhani inahitaji moyo wa kishujaa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanawake wenzake hapa JF ndio walikua wanafurahia kishenzi alivyochanwa,maana alikuaga anawa outshine kwa kuleta story zake upambanaji wake,sijui independent woman mara ladyboss na blah blah kibao na mara kibao tu walikua wanampiga vijembe vya kutosha tu hapa hapa JF.

Leo naona wanazuga eti walisikitika kwa yaliyomkuta, wanawake bana.
 
Dada nakusalimia.
 
Wanaume wengi wa humu hawajielewi, nilifuatilia mwanzo mwisho huo uzi. Yaani habari alizoleta huyu duwanzi hazikuwa na mahusiano kabisaa na kilichokuwa kinaongelewa. Ni kama alikuwa ana bifu lake na manengelo akawa anatafuta namna ya kumdhalilisha. Halafu its like Jf mods wanafurahia huu upuuzi wa kudhalilishwa wanawake humu mpaka huwa nawaza au wao ndio wadhalilishaji!!

Yaani from no where mtu anakurupuka sijui ni bifu au chuki tu za kimasikini anakuja anamwaga tu details za mtu humu halafu anachekewa. Tunayo safari ndefu na hawa watoto wetu wa kiume, sijui tunakosea wapi kuwalea walah[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Alichokuwa anasisitiza wangari ni tapeli kupewa a benefit of a doubt maana kuna wakati mtu anaweza kukusambazia sifa mbaya kumbe tu mlishindwa kuelewana. Nakumbuka hata mimi nilimwambia asimtetee tapeli. Lakini yale yaliyomwagwa yalikuwa yana mahusiano gani na mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…