Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]aisee...jamaa hakumfanyia fair nilitaka nijue chanzo ni nini mpaka huyo jamaa akamfanyia hivyo
Hahahaha[emoji38][emoji38][emoji1787]Namimi ngoja kuna baadhi ya watu details zao ninazo siku nikiamka vibaya tu wanalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]we nae@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
Safi sana Owo omuka[emoji91][emoji91][emoji1690]Mimi hata wanianikaje humu sibadili id ng'o!!!!!!!
Hahaha[emoji23]Mshana kipindi hicho akiwa anaupigwa mwingi..mabazazi jasho likawa linawatoka[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji91][emoji91]Maana alimtuhumu mane kuwa ni tapeli, akamuomba athibitishe huo utapeli wake. Hakuuthibitisha zaidi ya kumchafua tu na mambo yasiyohusiana na huo utapeli alokuwa akimtuhumu nao. Yaani mtu ana bifu na wewe anakutafutia tu angle akuchafue daaah!
Ila watu wana muda jamani, yaani kwakuwa mtu anajisifia this and that basi unainvest muda na pesa zako kumfuatilia uthibitishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes kachange na kwenye huu uzi yupo kajaa teleMbona haonekani au ka-change ID?
We soma tu utang'amua[emoji38][emoji848]Witty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinifanye nikarudia upya kusoma comments..
Eti kama Volcano[emoji1787][emoji1787]Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]
Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hata wanianikaje humu sibadili id ng'o!!!!!!!
IlikuajeHuyu dada alizabangwa ile kinoma humu jf
Mnanichamba weeee!! Nimo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
witty unamkumbuka yule mwamba aliyejiua?? wangari aliplay part kubwa sana kuhusu yule jamaa mpaka mwishoni akakata tamaaa jamaa akajiuaNi alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]
Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
This time itakua anatumia ya kiume@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
Unaweza weka huo uzi tukausomeNi alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]
Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
U mvumilivu mno[emoji1787][emoji1787]Mnanichamba weeee!! Nimo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !!!!
Weka uzi huoKuna mdau juu kashaeleza , kuna jamaa ndiyo alikuwa anafanya naye matusi sasa sijui walizinguana nini akaja kuanikwa humu na picha zake na info zake yeye ni nani...uzi ulikuwa na page za kutosha.
Humu ndani siyo.
Daah nakumbuka sana asee[emoji22][emoji22][emoji22]witty unamkumbuka yule mwamba aliyejiua?? wangari aliplay part kubwa sana kuhusu yule jamaa mpaka mwishoni akakata tamaaa jamaa akajiua
Mmmh ila wewe[emoji119][emoji119][emoji119]This time itakua anatumia ya kiume
UlifutwaUnaweza weka huo uzi tukausome