witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]aisee...jamaa hakumfanyia fair nilitaka nijue chanzo ni nini mpaka huyo jamaa akamfanyia hivyo
Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]