Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

aisee...jamaa hakumfanyia fair nilitaka nijue chanzo ni nini mpaka huyo jamaa akamfanyia hivyo
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]

Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
 
@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]we nae
 
Maana alimtuhumu mane kuwa ni tapeli, akamuomba athibitishe huo utapeli wake. Hakuuthibitisha zaidi ya kumchafua tu na mambo yasiyohusiana na huo utapeli alokuwa akimtuhumu nao. Yaani mtu ana bifu na wewe anakutafutia tu angle akuchafue daaah!

Ila watu wana muda jamani, yaani kwakuwa mtu anajisifia this and that basi unainvest muda na pesa zako kumfuatilia uthibitishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji91][emoji91]

Unaweza kijiuliza mtu mda wa kupata ridhiki anaupata saa ngapi[emoji848]
 
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]

Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
Eti kama Volcano[emoji1787][emoji1787]
 
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]

Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
witty unamkumbuka yule mwamba aliyejiua?? wangari aliplay part kubwa sana kuhusu yule jamaa mpaka mwishoni akakata tamaaa jamaa akajiua
 
@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
This time itakua anatumia ya kiume
 
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuu [emoji481]

Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano [emoji848]
Unaweza weka huo uzi tukausome
 
Back
Top Bottom