Demiss amepotelea wapi?

Una kumbukumbu..mimi I'd ile nilishaisahau..hivi bado ipo? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama Sabrina.


Hata mimi hii Id yangu ni kongwe kama ile biashara ya Kimboka

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Na hakuwa na shida na mtu, basi tu waja sijui wana nini!
Walikasirishwa na ujuaji wake,utadhani ujuaji ni dhambi vile.

Wengine wakaenda mbali wakaanza kumwita tapeli ukiwauliza aliwatapeli nini hawasemi,wanaishia tu kuguess.
Wakaenda mbali wakanipachika na mimi kwenye ID yake,eti ni I'd yake nyingine,,kisa tu nilimtetea.

Kuna wapumbavu nilikuwa nawasubiri waendelee na ule upumbavu ili niwalipue.
 
Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
Kweli wahuni sio watu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi humu kuna viumbe vinaongoza kwa ujuaji kama wanaume!! Mbona hakuna mwenye muda nao? Sasa akiwa mjuaji ujuaji wake unakuathiri nini wewe? Muache na ujuaji wake so long haukuathiri chochote.

Huo utapeli ndio hakuna hata alothibitisha kuwa ni tapeli, yaani basi tu ilimradi mtu amchafue mtu kwa chuki zake binafsi ambazo hazina miguu wala kichwa.
 
Demis walimlipuaga humu wakaanika picha zake,nadhani ni mwalimu huko dodoma.
Sasa picha zake sura ina pua kubwa" kweri kweri", wana wakawa wanaponda,akaonelea abadili ID ,akajiita muzine,hata hivyo imepoa. Au ana ID nyingine ambayo hatujaigundua.
Wanangu mtatuua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanza ujuaji siyo dhambi,walimuonea bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…