Wanaume sifa Yao kuu ni kifua kipana chenye kuhifadhi mambo, acahana na habari za kutoleana Siri utakutana na karma.Kuna mdada humu kashaanza kutikisa kiberiti akiendelea na mimi namripua andaeni mabeleshi tukazike hakuna kusafirisha
Jf nuksi... Wakikuamulia wanajua hadi pagala ulofirigiswa mara ya kwanza ni pagala la ngapi East and Central Africa [emoji119]!We sugu una ngozi ya kenge
Ukiwa mjuaji unatengeneza mazingira ya kufuatiliwa kiundani...Walikasirishwa na ujuaji wake,utadhani ujuaji ni dhambi vile.
Wengine wakaenda mbali wakaanza kumwita tapeli ukiwauliza aliwatapeli nini hawasemi,wanaishia tu kuguess.
Wakaenda mbali wakanipachika na mimi kwenye ID yake,eti ni I'd yake nyingine,,kisa tu nilimtetea.
Kuna wapumbavu nilikuwa nawasubiri waendelee na ule upumbavu ili niwalipue.
🤣🤣🤣 na kwanini aseme?
Maana humu ukibadili tu haichukui round raia washakunyaka.
Laleni..siku imepinduka watu mpo tuu..khaaa!!!!😂😂😂😂
Mmechamganya madesa bila shaka, habari za kifo Cha huyo Mpauko zililetwa na mtu tofauti na huyo wangariKumbe sio mpauko maana Wangari ndo alileta habari za msiba wake hapa na pia mpauko alikuwa na I'd mbili.
Hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anampango wa kumsaidia katika hatua hiyo na. Kuja kuona. Uzi humu kuwa jamaa kalala zake
Alijinyonga kweli, alifariki.Mimi. Na. Wewe hatujui si unajua mambo ya JF humu watu wana akili nyingi
Hajawahi kuishi kwa wangari huyo Mpauko, hata habari za kifo chake zililetwa na mtu mwingine kabisa, huyo wangari ndio akasema alikuwa anamsaidia sana huyo marehemu na blah blah mob sana, watu tuliojua ukweli tukanyamaza tu, baadae mpaka Mimi akanivagaa kwa kisirani chake, nadhani walimpa majibu wapambe wake huko au pale pale maana alijinasibu Mimi ninamfuatilia eti akanizimia pm yake...Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.
Muda wa kueleza sana sina ila niliposoma ID zao
nikacheki mada zao na majibu yao wawili plus yule dada wakiwa kwenye nyuzi. Nikaunganisha na mikakati ya kuchanga hela waliyonipa uko PM. Maelezo yao ni tofauti kila uzi na nilikataa wazo lao. Siku chache baadae Sivan akatangaza Umomi kafariki ila kuna members wakakataa na reasons za mashiko. Ndio nikaraise doubt yawezekana hizi attempt sijafanyiwa mimi pekee. Hao walikuwa wanaitwa wadogo zake na waliwahi kubadili ID, since hapo sikuwahi muamini 100% huyo dada na sio kosa.
Saint Anne hakuna sehemu nimesema huyo bosslady alikuwa tapeli. Nimesema alikuwa anatetea matapeli, kama kwako hili ni sawa basi Alleluya. Unataka ushahidi wa kutetea matapeli? Omba ule uzi ifunguliwe na mods
MmhhhhSeems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).
You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.
Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
Hahahaha[emoji23] huhatulia wewe ujuePiga kelele kwa babu yake, weuweeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Basi bhana kuhus kazi yake, tuzimie kwwenye gia au vipi?
Atoto ndio Espy, ndio Jael na ndio Habun.
Acha kabisaa dash!mtu anakuvua chupi then anakuanika live!mweeAiseee, haya maisha sio?
Shoga imepoa siku hizi jf haya mambo yapo mbona...mtu anakukula...kesho unaandikiwa thread kuna mtu alienda kuliwa wako gesti uzi umeweka"namla mdada wa Jf'Kheeeeh hii JF mbna inaogopesha lol,
Itakua ni wewe mama,maana wenye vyenye id vya kuzuka ndio uwa mna mambo ya kiparody,then kutwa kubadilisha id baada ya kugongwa na zaidi ya watu 5 wa humuUnaweza kuta yule ni wewe
Sa ndo nini kutuwekea dp kavu hivyo Demiss?Itakua ni wewe mama,maana wenye vyenye id vya kuzuka ndio uwa mna mambo ya kiparody,then kutwa kubadilisha id baada ya kugongwa na zaidi ya watu 5 wa humu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]We mjanja[emoji38][emoji38][emoji1787]
Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Humu kuna vichaa asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna maana kabisa.... sichezi tena na weweAtoto ndio Espy, ndio Jael na ndio Habun.
Nani alijiua??!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]napitwa mwenzenu kaahh!sijui nikupe my no?!!uwe unanishtuaDaah nakumbuka sana asee[emoji22][emoji22][emoji22]
Ile ndo ilikuwa disaster[emoji134][emoji134]
Hamna kiranga wala nini wakikuamulia tu waja!yaani kuomba Mungu tu!Km una kilanga na utaanikwa, [emoji23][emoji23][emoji23] , kuwa mpoleeeh mommy angu kipenziih