Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Walikasirishwa na ujuaji wake,utadhani ujuaji ni dhambi vile.

Wengine wakaenda mbali wakaanza kumwita tapeli ukiwauliza aliwatapeli nini hawasemi,wanaishia tu kuguess.
Wakaenda mbali wakanipachika na mimi kwenye ID yake,eti ni I'd yake nyingine,,kisa tu nilimtetea.

Kuna wapumbavu nilikuwa nawasubiri waendelee na ule upumbavu ili niwalipue.
Ukiwa mjuaji unatengeneza mazingira ya kufuatiliwa kiundani...
Ila watu mmhhhhh
 
Kumbe sio mpauko maana Wangari ndo alileta habari za msiba wake hapa na pia mpauko alikuwa na I'd mbili.
Hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anampango wa kumsaidia katika hatua hiyo na. Kuja kuona. Uzi humu kuwa jamaa kalala zake
Mmechamganya madesa bila shaka, habari za kifo Cha huyo Mpauko zililetwa na mtu tofauti na huyo wangari
 
Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.

Muda wa kueleza sana sina ila niliposoma ID zao
nikacheki mada zao na majibu yao wawili plus yule dada wakiwa kwenye nyuzi. Nikaunganisha na mikakati ya kuchanga hela waliyonipa uko PM. Maelezo yao ni tofauti kila uzi na nilikataa wazo lao. Siku chache baadae Sivan akatangaza Umomi kafariki ila kuna members wakakataa na reasons za mashiko. Ndio nikaraise doubt yawezekana hizi attempt sijafanyiwa mimi pekee. Hao walikuwa wanaitwa wadogo zake na waliwahi kubadili ID, since hapo sikuwahi muamini 100% huyo dada na sio kosa.

Saint Anne hakuna sehemu nimesema huyo bosslady alikuwa tapeli. Nimesema alikuwa anatetea matapeli, kama kwako hili ni sawa basi Alleluya. Unataka ushahidi wa kutetea matapeli? Omba ule uzi ifunguliwe na mods
Hajawahi kuishi kwa wangari huyo Mpauko, hata habari za kifo chake zililetwa na mtu mwingine kabisa, huyo wangari ndio akasema alikuwa anamsaidia sana huyo marehemu na blah blah mob sana, watu tuliojua ukweli tukanyamaza tu, baadae mpaka Mimi akanivagaa kwa kisirani chake, nadhani walimpa majibu wapambe wake huko au pale pale maana alijinasibu Mimi ninamfuatilia eti akanizimia pm yake...
Dada ana kisirani sana Yule Ila kumtolea Siri zake haikuwa poa sana na si Mara ya kwanza coz amebadili I'd Mara kadhaa kwa kashfa mbalimbali.
Anyways tuishi kwa kuheshimiana ndio kikubwa
 
Seems like wewe dada una mambo mengi sana yakiwaki. Kuna nyuzi nyingi nimeonaga huko zamani zinahusu uduwanzi wako na other things you do behind the curtains. (Unajijua).

You do a lot of bs, you've got an attitude na kujiona kuwa you are very clever and you can outwit others. Mbaya all of these times unafanya your bs you end up proving yourself to be an absolute ah.

Remember the last time you fucked up? Juzi juzi tu hapa last month. Remember? Au niweke hapa?
Mmhhhh
Acha hizo...meza mate usitoe habari za mtu za sirini ndugu.
 
We mjanja[emoji38][emoji38][emoji1787]

Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]

Humu kuna vichaa asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daah nakumbuka sana asee[emoji22][emoji22][emoji22]

Ile ndo ilikuwa disaster[emoji134][emoji134]
Nani alijiua??!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]napitwa mwenzenu kaahh!sijui nikupe my no?!!uwe unanishtua
 
Back
Top Bottom