Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.
Muda wa kueleza sana sina ila niliposoma ID zao
nikacheki mada zao na majibu yao wawili plus yule dada wakiwa kwenye nyuzi. Nikaunganisha na mikakati ya kuchanga hela waliyonipa uko PM. Maelezo yao ni tofauti kila uzi na nilikataa wazo lao. Siku chache baadae Sivan akatangaza Umomi kafariki ila kuna members wakakataa na reasons za mashiko. Ndio nikaraise doubt yawezekana hizi attempt sijafanyiwa mimi pekee. Hao walikuwa wanaitwa wadogo zake na waliwahi kubadili ID, since hapo sikuwahi muamini 100% huyo dada na sio kosa.
Saint Anne hakuna sehemu nimesema huyo bosslady alikuwa tapeli. Nimesema alikuwa anatetea matapeli, kama kwako hili ni sawa basi Alleluya. Unataka ushahidi wa kutetea matapeli? Omba ule uzi ifunguliwe na mods