Kumbe wengine umekubali kuchat nao huko pm mimi ukanibania Lenie? Hivi mbona sisi wengine hizi bahati hatuna[emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa hayo, ila mimi hua naumia nikiona mwanamke mwenzangu anadhalilishwa hadharani especialy by men, najiskia vibaya na moja kwa moja najua huyo hajafunzwa kwao na hana adabu.
Shida ya baadhi ya wanaume hata humu wakiona mdada umerespond vizuri let's say PM mkachat mawili matatu akakuzoea basi anakuona umekua cheap anaweza kukufanyia lolote sasa wasijue wala wasifikirie kumbe hayo ni mambo ya kawaida katika kusocialize.
Haha, Saint Anne mbona hivi lakini? Unataka wanaoijua ID yangu ya zamani waje kunilipua si eti.. we endelea kunichomea utambi tu[emoji23][emoji23]Ila Eli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naanzaje kupotezea pm yako mie jaman😂😂Kumbe wengine umekubali kuchat nao huko pm mimi ukanibania Lenie? Hivi mbona sisi wengine hizi bahati hatuna[emoji23][emoji23]
Hivi kumbe mnatafunana kimya kimya wanajukwaa 🤭 dis iz seriaz!Tunajuana na tunakulana humu best sema ukikutana na wa hovyo ndo wanakuumbua wakati we unamumini kama mshikaji wako wa faida
Nimeshangaa sana, haiwezekani niwe fungu la kukosa kiasi hiki aisee.😂😂😂. Hata ukinitangaza badae potelea mbali, mi hata sijali.Naanzaje kupotezea pm yako mie jaman😂😂
Why all those transitions? Huwa mnakuwa mmeharibu mahali ama?😅Atoto ndio Espy, ndio Jael na ndio Habun.
Kumbe kuna kufaidi mema humu? Sasa mbona sisi imekuwa holla enzi na enzi.😂😂hawa wadada nishawajua, wakiona kaumri kamesonga kidogo wanapandisha vioo. Sisi wa age yetu ndio basi tena😋😋😋🤣Tunajuana na tunakulana humu best sema ukikutana na wa hovyo ndo wanakuumbua wakati we unamumini kama mshikaji wako wa faida
Watu wabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumemshtukia leo[emoji1787][emoji1787]
Ila nilijikaza wala sikwenda[emoji16]Naona hutaki kupitwa[emoji23][emoji23]
Mkuu, mimi niliharibu sehemu 🤣 bahati mbaya nimechitchat siku moja tu mtu kashanishtukia, wewe sio Fulani kweli... nikajisemea basi tena🤣🤣Why all those transitions? Huwa mnakuwa mmeharibu mahali ama?😅
Huwezi kuficha hati yako😅! Yani mtu aliekuzoea anajua tu huyu ni flani😅Mkuu, mimi niliharibu sehemu 🤣 bahati mbaya nimechitchat siku moja tu mtu kashanishtukia, wewe sio Fulani kweli... nikajisemea basi tena🤣🤣
Mngejua nyie ndomnaotafutwa humu usingejipromo hivyo,tatizo vitoto vingi ndovinaleta feedback humu baada ya kuonjeshwa mbususuKumbe kuna kufaidi mema humu? Sasa mbona sisi imekuwa holla enzi na enzi.[emoji23][emoji23]hawa wadada nishawajua, wakiona kaumri kamesonga kidogo wanapandisha vioo. Sisi wa age yetu ndio basi tena[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1787]
Ndio kama mimi kuna mtu alishawahi kunifata pm akawa kama anaongea maneno ya mafumbo akinishutumu kuwa na ID mbili, nilimshangaa sana.Watu wabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta wakakomalia kuwa ni yeye,na yeye hata habari hana[emoji1787]
[emoji38]Haha, Saint Anne mbona hivi lakini? Unataka wanaoijua ID yangu ya zamani waje kunilipua si eti.. we endelea kunichomea utambi tu[emoji23][emoji23]
Ni kwamba mtu anabadili tu jina lakini ID inakuwa ni ileile.Why all those transitions? Huwa mnakuwa mmeharibu mahali ama?[emoji28]
ti mtu alisomeka Espy na sasa ni Habun?Ni kwamba mtu anabadili tu jina lakini ID inakuwa ni ileile.
Ni kama tu wengine tunavyobadili avatar kila siku
Duh[emoji38]Ndio kama mimi kuna mtu alishawahi kunifata pm akawa kama anaongea maneno ya mafumbo akinishutumu kuwa na ID mbili, nilimshangaa sana.
Ikabidi niscreenshot ile msg yake nikamtumia mdada mwenye ID yake niliyoshutumiwa nayo akacheka sana. Kumbe na kule pia alimfata pm akamwandikia maneno mabaya hivyo hivyo.