Demiss amepotelea wapi?

Lord have mercy

Mbitiyanza ni Manengelo kumbe?

Hivi mimi nimelogwa au naota?
 
Duh[emoji38]
Unaweza amka asubuhi huna hili wala lile,unakuja kuona baadaye umebambikiwa ID[emoji23][emoji23][emoji23].
Na bahati nzuri au mbaya wengine kujibizana kwa mambo ya kijinga hatuwezi so unabaki unacheka zako tu unampa ushindi wake huyo mtabiri ID afurahi naye japo😂😂
 
ID inakuwaje ile ile waka

ti mtu alisomeka Espy na sasa ni Habun?
Ni kama mimi nilivyobadili Avatar.
Mwanzo niliweka yangu,sasa nimeweka ya JPM ila ni mimi yuleyule.
Ninaweza kuamua sasahivi nijiite Anne,nitoe hiyo Saint...ID yangu inakuwa ni ile ile na kila kitu changu kinabaki kama kilivyo.

Hata username inabadilika,,
Huyo Habun ni yuleyule ila amebadili tu jina .
Ukiangalia kila kitu chake cha nyuma kipo vilevile kuanzia nyuzi zake na comments zake.


Kubadili ID ni kufungua ID mpya,yaani unajisajili upya.
Yaani unakuwa nazo zaidi ya moja.
Kwa mfano tuseme mimi S Anne,,nimefungua tena ID nyingine yenyewe ni Karma ama Khantwe.

Kubadili jina(username),ID yako inabaki palepale.
Umeona tofauti iliyopo hapo?


Jf ina option ya kubadili Avatar na username.
Mwanzo kubadili username ilibidi mod ahusike lakini sasahivi wametupa huo uhuru sisi member kujibadilishia vyote,,iwe Avatar au username
 
Na bahati nzuri au mbaya wengine kujibizana kwa mambo ya kijinga hatuwezi so unabaki unacheka zako tu unampa ushindi wake huyo mtabiri ID afurahi naye japo[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]
 
Sawa sawa sasa hapo unasema ni kubadili username! Kubadili ID lazma ufungue ID mpya new account
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kumbe sikubadilisha ID ni username tu, ndio maana nilikamatika hivi kirahisi!
Ndiyo

Ungetaka kubadili ID ungejiregister upya.
Ulichokifanya wewe ni kubadili tu Jina katika identity yako ile ile.
 
Kama sijasahau yule kijana hakutapeliwa fedha zake, ila alizitumia katika kutafuta vibali kwa bahati mbaya mdau aliyempa maelekezo atampa mchongo akapotea katika mawasiliano
Yes exactly ndivyo ilivyokuwa
 
Kuna uzi flani wa kutafuta watu wanaofanya kazi za madini ule uzi sikuuelewa mpaka Leo kuna jamaa ilibidi amuulize lengo lake ni nini hasa!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wanaume sifa Yao kuu ni kifua kipana chenye kuhifadhi mambo, acahana na habari za kutoleana Siri utakutana na karma.
Mwanaume unatakiwa uwe real kama nyeusi unasema nyeusi kama nyeupe unasema nyeupe na kama hutaki kusema unakausha kabisa

Kuongelea vitu pembeni ndiyo mbaya na haitakiwi kwa mwanaume ila kumchana mtu kweupe huo ndo uanaume huo, maana unamchana alaf unabaki hauna kitu rohon wala bifu yote huwa yanatokea pale unapomkosea mwanaume heshima
 
Kudhalilishana sio kabisaa yaani hawa baadhi wanaume wanakosa utu kabisa...

Mmekutana kwa siri mnakuja kuumbuana humu!!inauma sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…