Demiss amepotelea wapi?

Nashangaa mbona uzi wangu hausongi kule kumbe Mmekuja kusutana na kuvuana ngup huku[emoji852][emoji852][emoji852]...!! Hakuna mahusiano ya Jf yanayoishaga salama yani lazima MWANAMKE ATADHALILISHWA TU.
Yapo vizuri tuu. Watu wanahusiana balaa huku Sema inategemeana unahusiana na nani? Na mara nyingi wanaoacha uchi wenzao ni wale waloumizwa baada ya mahusiano kufa. Mkihusiana mkaachana kwa amani hakuwezi kutokea mazingira ya kudhalilishana. Sometimes tunalipia maumivu tuliyowasababishia wengine kwa kudhalilishwa.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…