[emoji16]Tumbembeleze Depal atupe huo ubuyu, mwenyewe ya selfika nilipitwa et
Ngoja niangalie archive yangu kama bado zipo zile za mwanzo[emoji16]
Mimi zote tu nimepitwa.
Anayejitolea kunijulisha kilichojiri ajitolee jamani
Thread closed.NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.
Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.
Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.
Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.
Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.
Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.
Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.
WITO:
Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.
Nimeogopa sana sana.
Mungu awabariki.
Meri kakataa kunipa jina la kijana mutamu mwenye upaja wa kiblack amerika..... wasukuma tunaitaga mere 😂😂 we mere wewe haya mambo ni ya kupita roho mbaya haijengi LenieHahahaha...Meri nimemuita mara tatu[emoji16][emoji16]
Kwavile nataka niende mbinguni kwa amani basi nitakutajia pm jina lake la huku hadi jina la ukoo wake😂😂Meri kakataa kunipa jina la kijana mutamu mwenye upaja wa kiblack amerika..... wasukuma tunaitaga mere 😂😂 we mere wewe haya mambo ni ya kupita roho mbaya haijengi Lenie
[emoji3][emoji3][emoji3] waache members watoe ya vifuani kaka wapate nafuu niko na Chamdeko hapa imebidi tutafutane leo baada ya kupoteana kitamboNAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.
Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.
Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.
Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.
Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.
Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.
Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.
WITO:
Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.
Nimeogopa sana sana.
Mungu awabariki.
Ewaaaaaa 😍😍Kwavile nataka niende mbinguni kwa amani basi nitakutajia pm jina lake la huku hadi jina la ukoo wake😂😂
Mkuu umeandika maneno ya busara sana!NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.
Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.
Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.
Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.
Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.
Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.
Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.
WITO:
Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.
Nimeogopa sana sana.
Mungu awabariki.
Wakubwa mnafaidi....😎[emoji3][emoji3][emoji3] waache members watoe ya vifuani kaka wapate nafuu niko na Chamdeko hapa imebidi tutafutane leo baada ya kupoteana kitamboView attachment 2017463
Rangi au kifua?[emoji23]Wakubwa mnafaidi....[emoji41]
Rangi, kifua na kila kitu....ndio maana uliuza kilinge si mchezo 😂😂😂Rangi au kifua?[emoji23]
Asee nimefungiwa wajamen daah[emoji134]....hata hivo nimesharipoti high court[emoji848]Pm huzion leo
Hahaha[emoji23]Rangi, kifua na kila kitu....ndio maana uliuza kilinge si mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
We ni me?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji22][emoji22][emoji22][emoji1690]Jamani punguzeni kasi. Ndo kwanzaa nipo ukurasa wa 30 [emoji26]
Wajuzi wa Mambo wanasema ilikuwa ID ya bwana mwenda March 17....Huyo bia yetu tutusa fulani hivi
Kisa nin mbona mi nimekutumia imekuja kwakoAsee nimefungiwa wajamen daah[emoji134]....hata hivo nimesharipoti high court[emoji848]
Huyu mtu huwa ana busara siku zote, mtu flani mstaarabu....ni mwanaume nijiavyo mieMkuu umeandika maneno ya busara sana!
Wewe ni ke or me?
Siwezi kabisa nawe wajua. Upo huku kwetu au kule kwetu?Najua yatakayotokea huko yatabaki huko huko...nakujua tokea naulizia jimbo liko wazi au limeshikiliwa. Kama haukuwahi nianika wakati huo hauwezi kuanza leo...