Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.

Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.

Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.

Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.

Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.

Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.

Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.

WITO:

Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.

Nimeogopa sana sana.

Mungu awabariki.
 
Thread closed.
 
Meri kakataa kunipa jina la kijana mutamu mwenye upaja wa kiblack amerika..... wasukuma tunaitaga mere šŸ˜‚šŸ˜‚ we mere wewe haya mambo ni ya kupita roho mbaya haijengi Lenie
Kwavile nataka niende mbinguni kwa amani basi nitakutajia pm jina lake la huku hadi jina la ukoo wakešŸ˜‚šŸ˜‚
 
NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.

Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.

Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.

Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.

Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.

Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.

Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.

WITO:

Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.

Nimeogopa sana sana.

Mungu awabariki.
[emoji3][emoji3][emoji3] waache members watoe ya vifuani kaka wapate nafuu niko na Chamdeko hapa imebidi tutafutane leo baada ya kupoteana kitambo
Screenshot_20211120-125129.jpg
 
NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.

Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.

Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.

Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.

Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.

Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.

Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.

WITO:

Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.

Nimeogopa sana sana.

Mungu awabariki.
Mkuu umeandika maneno ya busara sana!

Wewe ni ke or me?
 
Back
Top Bottom