Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mbona wanaume pia wanalalamika mnawapiga na hivyo vitu vizito hivyo hivyo??πππ
Mnatupiga na vitu vizito sana
Mkuu@Carlos The Jackal Mimi nahisi humu ndani una ugomvi nae hizi Hasira unazozionyesha humu Ni wazi uSio kwamba nilikua na utoto.. Sema nilikua MD5!!
Mbishiiiii , ila nn, ukweli nikwamba Nanyie hampendi ukweli , kile kipindi alikua mnachukia sana mada zangu.
Nakumbuka nilifunguaga Uzi, kwenye ule Uzi nikasema " Hawa ndio wanawake naowakubali JF"
Aiseeee mlikuja mkanishambuliaaaaa balaaa
Kuna ule Uzi, nilikuaga natuma vipi cha vya katuni, naandika najina... Huyu ni Kapeace... Huyu ni Jjes ,huyu nani...
Maninaaa ,mkaja mkauvalia njugu ule Uzi, mlinipondaaaa vibayaaaa ,ndo hizo hizo wiki ,Mbityaza akaliamsha.
Mkuu@Carlos The Jackal Mimi nahisi hizi Hasira zako zimeficha Jambo...Hapana, Watu mlishashindwa kunielewa.humu.
Mimi huwa sionei MTU , kwanza Nina huruma naivo huwa sipendi kua mnafiki.
Wangari , kwenye ule Uzi alouchafua, SIKUWAH KUMSEMA VIBAYA JUU YA MWILI WAKE ..
Kwa sababu najua, nitakua mnafiki ukiwa nitamfunua kinywa changu kusema hata nukuta moja ya mwili wake.
YULE NI NI MWANAMKE AMBAYE, KILA INCHI MOJA YA MWILI WAKE IT WORTH !!!.
Alijaaliwa Kuumbwa, Alijaaliwa Sura, Alijaaliwa Umbo.
God was really showing off when he created HER !,
she is very definition of irresistible , so smart ,a Living, breathing sexual fantasy !!
Yeye ana mapungufu Yake mengine hayooo !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sura zilikuwa kavu sanaa mkuu
Aiseee tunasikia nawe umeolewa baada ya mwenda March 17 km sehemu ya ahadi yako..Lina ukweli hili madam...?AlhamduliLlah, yupo, kajaa tele.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wangekuja kulalamika bure nimewatumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulifanya vizuri...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wangekuja kulalamika bure nimewatumia
Hulagi???Mbona wanaume pia wanalalamika mnawapiga na hivyo vitu vizito hivyo hivyo??
Anyways, hongereni wana JF maana nimeskia habari zenu humu mnavyokulana. Aisee humu mnatisha sana kwa kweli.
Dah nyieeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humi nlipata namba za kama wawili hivi ila Kiukweli DP zao tu nikaahirishaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hili ni la msingi sana, watu wawe na vifua vya kutunza siri. Mkikulana vungeni, mkishindwana basi yaishe jukwaju!Hulagi???
Tutunziane siri tu jamani [emoji23][emoji108] kwa kila namna tunavyokwazana huko PMs na nje
Umeongea kwa uchungu sana aiseeKudhalilishana sio kabisaa yaani hawa baadhi wanaume wanakosa utu kabisa...
Mmekutana kwa siri mnakuja kuumbuana humu!!inauma sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mimi sina hayo mambo.Hulagi???
Tutunziane siri tu jamani ππ kwa kila namna tunavyokwazana huko PMs na nje
RafikiUlifanya vizuri...
Inauma kweli maana humu kuna watu wanajuana nje ya jf,au unapomuumbua mtu kwa kutaja habari zake huwezi jua may b ana ndugu zake humu...marafiki,hujui hao watu watamchukuliaje!?halafu sasa ujue hizo I'd fake lakini nafsi ,haiba na moyo ni vya halisi,ukisemwa ,kutukanwa kudhalilishwa inauma sanaa!asikuambie mtu!!Umeongea kwa uchungu sana aisee
Tatizo nanyi hamu Angalii watu wa kuwavulia nguo. Unategemea nini under 30 yrs halafu mnawachuna kiroho mbaya. Ataitangaza k yako na pengine umemuachia hadi anaingiza ulimi, kumbe mwenzako anaichora tuHulagi???
Tutunziane siri tu jamani ππ kwa kila namna tunavyokwazana huko PMs na nje
Humu ndani ni ku lay low tu kama una Moyo mdogo,
Mambo ya Umaarufu tuwaachie Celebrities wa Bongo, maana wao washazoea michambo na mitusi kwa Watanganyika....
Yote kwa Yote tabia za kinyanyasaji na utapeli hazitafumbiwa macho.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!![emoji2][emoji2][emoji2]siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usjar shos angu, na siku ya kulipuliwa wee, JF itazizima mbnaa.
Nambie rafiki!! Nawewe umepotea kidogo sitaki tukutafute kwa kukufungulia uzi aisee!!Rafiki
Daahh!haya mambo yapo sana mbona humu...!!Mimi nishakutana na watu wengine washkaji sasa hivi,kuna mmoja ndo amekua km ndugu yangu baba ana moyo wa dhahabu ht papuchi hataki mwaka sasa na nusu[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]na hajawahi ht kuomba ila sasa nikifulia muamala twitwii....!!!simtaji wajuba wasije wakamzamia bureeee!Mimi nilikutanaga na mtu nikampenda kabisa (sijui kama na yeye alinipenda) ila maisha yana fumbo zake basi tukaachana na maisha yakaendelea.
Utaleta balaa tena mkuu ukiidelete hio picha kabla hawajaamka itakua vizuri!!