Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe una haiba zote za kikeYa humu yaache kama yalivyo, mimi pia ninaweza kuwa kidume.
Ndo hvyo wengine washenzi tu!akikujua anataka akuletee ujinga..ishantokea Mimi hii!akawa anatishia kuleta picha zangu humu nkamuambia ,Mimi sitakua wa kwanza kudhalilika yataisha tu!!we Fanya unachohisi nafsi yako itakupa furaha nikamblok Jf baasi maisha yanaenda..Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo.
Mkwe tafadhali mkwe[emoji3][emoji3][emoji3]tena anatokea huko hukoo ulikokua waishi mwanzo...baba yule Mungu ambariki sana najua anasoma hapa ajue tu namheshinu na namuombea dua Mungu ampe zaidi ya alivyo navyo!!M wewe ni dhahabu aseeh!Embu mtaje jamani anifanyie muamala mkweo nimefulia.
Mimi sina hayo mambo.
Ni mtu na heshima zangu na staha zangu.
Lakini ulilolisema la kutunziana siri ni jambo la msingi sana [emoji16][emoji16]
[emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]kaja jibu unalo we kausha tuu...mgeni gani anajua choo kilipo,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]!!!!!mpk sahani za wali anakomba
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kawaida tu mbona, usifanye maisha kuwa magumu kuliko, we live once mama![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sina hata wa kumkimbia bado kwanza watu hawachomoa betrii I can imagine that day sijui itakuaje!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu.Kwa hiyo hao wanaokulana hawana heshima na staha mkuu, si ndiyo[emoji3]
Kwa hiyo nimejipa promo unforgettable? Sisi tunakula na kunawa kimya si eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngejua nyie ndomnaotafutwa humu usingejipromo hivyo,tatizo vitoto vingi ndovinaleta feedback humu baada ya kuonjeshwa mbususu
Hapana mkuu.
Sijamaanisha hivyo. Unisamehe kama nimekosea.
One love!
We bwana we..!wit siku ya kwanza tu kanijua[emoji23][emoji23][emoji23]muulize vzr...mpk mda huu bado tu!ila dada umenifanya na mimi kichwa kiume kujiuliza wewe ni nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishtua hahahaUsijali.
Nakutania tu Mkuu
Weeeeee ![emoji848][emoji848]Tunakulanaaa mnoooo!!!!hivi mnategema jinsia ke na me zikimeet wasitiane?!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]kwa utakatifu gani sasa?sema balaa linakuja ukiliwa na watoto wa mbwaa....utaomba poo mbona!!wahuni sio watu!!!
Ila kuliwa tunaliwa bwana wee! Sio siri humu watu wazima sote!Nile kibingwa jikatae....!!!iwe kimasihara au ya kupangwa ila mechi zinapigwa..viwanja vyote home and away!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
We bwana we..!wit siku ya kwanza tu kanijua[emoji23][emoji23][emoji23]muulize vzr...mpk mda huu bado tu!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Umenishtua hahaha
Wee plz dea acha utan bhana, nipatie mwenzio, [emoji23][emoji23]Sina namba yake jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ShukranNimehisi tu [emoji23][emoji23][emoji23]pole
Acha uongo naa ujanja bhana, hebu ni boost mjukuu wako, ntateketea ujue? [emoji23][emoji23]Mjukuu acha tu nilibanika mahali mpaka usiku mwinngi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh kitaumana, af usiowategemea ndo wanao haribu, kuwa mpolee usiogope.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!![emoji2][emoji2][emoji2]siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubamba tayar, na nlijua tyuuh wee n Geni, au ile nyngne inaanzia na hilo hapo ila iwe "a" katkat........., hahaha nlkumuc sana dea.[emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]kaja jibu unalo we kausha tuu...mgeni gani anajua choo kilipo,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]!!!!!mpk sahani za wali anakomba
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi umemjibu vizuri, iv nkupe zawadi gan? Umejua kunifurahisha sana, weuweeeeeeehYa humu yaache kama yalivyo, mimi pia ninaweza kuwa kidume.