Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo.
Ndo hvyo wengine washenzi tu!akikujua anataka akuletee ujinga..ishantokea Mimi hii!akawa anatishia kuleta picha zangu humu nkamuambia ,Mimi sitakua wa kwanza kudhalilika yataisha tu!!we Fanya unachohisi nafsi yako itakupa furaha nikamblok Jf baasi maisha yanaenda..
Ila sitaki tena ukaribu wake!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Embu mtaje jamani anifanyie muamala mkweo nimefulia.
Mkwe tafadhali mkwe[emoji3][emoji3][emoji3]tena anatokea huko hukoo ulikokua waishi mwanzo...baba yule Mungu ambariki sana najua anasoma hapa ajue tu namheshinu na namuombea dua Mungu ampe zaidi ya alivyo navyo!!M wewe ni dhahabu aseeh!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]kaja jibu unalo we kausha tuu...mgeni gani anajua choo kilipo,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]!!!!!mpk sahani za wali anakomba

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

ila dada umenifanya na mimi kichwa kiume kujiuliza wewe ni nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mngejua nyie ndomnaotafutwa humu usingejipromo hivyo,tatizo vitoto vingi ndovinaleta feedback humu baada ya kuonjeshwa mbususu
Kwa hiyo nimejipa promo unforgettable? Sisi tunakula na kunawa kimya si eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunakulanaaa mnoooo!!!!hivi mnategema jinsia ke na me zikimeet wasitiane?!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji2]kwa utakatifu gani sasa?sema balaa linakuja ukiliwa na watoto wa mbwaa....utaomba poo mbona!!wahuni sio watu!!!
Ila kuliwa tunaliwa bwana wee! Sio siri humu watu wazima sote!Nile kibingwa jikatae....!!!iwe kimasihara au ya kupangwa ila mechi zinapigwa..viwanja vyote home and away!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Weeeeee ![emoji848][emoji848]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!![emoji2][emoji2][emoji2]siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh kitaumana, af usiowategemea ndo wanao haribu, kuwa mpolee usiogope.
 
[emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]kaja jibu unalo we kausha tuu...mgeni gani anajua choo kilipo,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]!!!!!mpk sahani za wali anakomba

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubamba tayar, na nlijua tyuuh wee n Geni, au ile nyngne inaanzia na hilo hapo ila iwe "a" katkat........., hahaha nlkumuc sana dea.

Sjawah kukosea kuhisi. Weuweeeeeeh
 
Back
Top Bottom