Demiss amepotelea wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .. [emoji3577][emoji3577]
 
Daah nlikuaga najua manengelo ni dem fln classy sana na zile pigo za uuzaji madini alizokua nazo ni balaa, Af Kona za machimboni alikua anazijua kweli kama vle alishawahi kuhusika na hizo mambo
Duh!
Muwage mnaficha siri za watu jamani wengine Wana roho nyepesi watajinyonga bure
 
Pole Mtani...

Wewe ni mtu wa kuigwa sana humu..kama ndiyo mizimu inafanya kazi namna hii basi fanya namna wengi wafanyiwe hii kitu..

Maana Kuna watu umetustahi/ umewastahi na madhaifu yao/yetu..Pongezi kwako Mtani wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhh!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante mtani nina kifua kipana lakini hakina six pack [emoji23]
 
Kheeeeh hii JF mbna inaogopesha lol,
 
Tatizo lilianzia pale Wangari alipokuwa upande wa anayesemekana ni tapeli na kwamba watu wajifunze kushukuru kabla ya kuhukumu.

Na kuwa hata yeye amesaidia watu wengi tu lakini hawana shukrani.

All in all haikuwa fair kwa alivyoshambuliwa na yule mdau..alimuaibisha sana hakustahili yale yote.
 
Naona wakina Joyce Kiria mdogo mdogo mmeanza kupiga jaramba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…