Demiss amepotelea wapi?

Andiko bora na lenye mashiko, nimependa hapo.
"Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine".
 
Na ule uzi wengi Walimshambulia mleta mada.. Ila Yule member akaamua kumfanyia vile Wangari.. sasa kama siyo chuki Binafsi ni nini?

Maana angeweza kujibizana naye kwa namna nyingine ila kuanza kumtolea mambo yake ya nje pale.. haukuwa Uanaume ule..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namimi ngoja kuna baadhi ya watu details zao ninazo siku nikiamka vibaya tu wanalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hapo kwenye wengi ndipo Wangari aliingia mkenge sababu huyo mdau alitoa comment ya jumla kwa watetezi ila Wangari akaijibu na ndio akamshushia gazeti
 
Na hapo kwenye wengi ndipo Wangari aliingia mkenge sababu huyo mdau alitoa comment ya jumla kwa watetezi ila Wangari akaijibu na ndio akamshushia gazeti
Na hata aliyemjibu Wangari hakuwa mlalamikaji.. naye alikuwa mchangiaji tu..

Ndipo ninaposema angeweza kutumia fimbo nyingine kumchapia ila siyo kile alichokifanya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…