HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Yule dili zake za mamilioni tuaaah mods walifuta uzi, kiufupi tu kuna mdau aliweka vyote hapa kuhusu bibie, utapeli, uuzaji 'kipochi manyonya' na kusingizia ana 'mgodi' sjui, na kadhalika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule dili zake za mamilioni tuaaah mods walifuta uzi, kiufupi tu kuna mdau aliweka vyote hapa kuhusu bibie, utapeli, uuzaji 'kipochi manyonya' na kusingizia ana 'mgodi' sjui, na kadhalika
Duh hatari sana, kwa hiyo huku ni. Mwendo wa kulipuana tyuuh jamani, loohLara 1 mi ndo nilimpeperusha JF baada ya kumuanika.
Inashangaza sana..
Na wanaoyaleta wengi ni jinsia ya ME ni mara chache sana KE kuleta mambo kama haya humu..
Kuna huyo mpuuzi mmoja huyo nasikia yeye akishamkula Mwanamke humu akafanikiwa kupata mwingine tena JF kazi aliyonayo ni kumpondea au kuwapondea wote aliokuwa nao kwenye mahusiano..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan maajabu kwa kweli lol. [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani humu ndani mtu akilala na mtu si ameamua tu, sasa watu inawauma nini [emoji38]
Wewe unamjua physically au unamjua kwa humu ndani JF?Duh mbona bibie sio wa hivyo kama mnavosema jamani. Kwani huyo jamaaa alimplipua kwa lipi?
Huwa tutawasiliana ijapo sijui mishe zake, na wala sijawahi muulizaWewe unamjua physically au unamjua kwa humu ndani JF?
Sasa unaposema hayupo kama wadau walivyosema una maanisha nini wakati humjui vizuri hata kidogo?.Huwa tutawasiliana ijapo sijui mishe zake, na wala sijawahi muuliza
Ooh Mungu wangu, kwa hiyo huyo jamaaa walijuana humu, halafu akaja kukuta maelezo yake na uhalisia sio?Sasa unaposema hayupo kama wadau walivyosema una maanisha nini wakati humjui vizuri hata kidogo?.
Though mimi sikupenda alivyoaibishwa humu aisee.
Chuma alichompiga nacho hiki hapa.Ooh Mungu wangu, kwa hiyo huyo jamaaa walijuana humu, halafu akaja kukuta maelezo yake na uhalisia sio?
mbona mimi sijawambia member umenipa tunda baby😋@
Huku kuanikana tyu My.,chef detat
alooh alijibu??Chuma alichompiga nacho hiki hapa.
_____
comment yangu,sijataja mtu,ila umejishitukia kuwa hizo ndiyo tabia zako,sasa ngoja nikupe ushaidi!
Wewe binti ni mtu wa ajabu sana! Nikianza kukuanika upuuzi wako hapa tunaweza kukesha!
Mimi nakujua kupitia kwa rafiki yangu mmoja hivi yuko dsm! Mara ya kwanza kabisa mlikutana morogoro sehemu moja inaitwa 88,mara ya pili mlikutana kibaha,mara ya tatu dsm! Huyo jamaa ni polisi lakini ana kazi nyingine, ana gari nyeusi aina ya Kluger, Na alikua anakufatilia kuhusu upuuzi wako wakuitukana serikali,na walipoona your not a threat walikuacha tu! Tena mara ya kwanza walikuita kule nane nane,kwenye majengo ya ufichoni sana,bila kujua na wewe ukaenda kweli! Jamaa alikufirimba na mwisho wa siku,akakuuliza gari umeacha wapi,mara ohh sijui gari imeisha mafuta nimeacha sehemu furani!
Basi yule bwana alipokuona huna maana alikuacha,akampa rafiki yake number zako,wewe si ulikua unatumia line ya tigo ya 0713 inaishia na 96?? Yule jamaa alikupigia simu,mkaongea then ukaomba nauli utumiwe kwamba ukimaliza kufua,utaenda,ukala pesa za watu bila hata ya kwenda! Ukaomba pesa za birthday ya mtoto wako! Ukatumiwa! Leo hii unaleta shobo hapa!
Kila siku unajifanya una maisha ya maana,kumbe choka mbaya tu,unashindwa kulipa hadi pesa za house girl wako,nyumba unaishi hata haijaisha,ndoa yako migogoro kila siku,shule hukumaliza,ulipigwa mimba,huyo kaka alikuacha sababu ya vituko vyako!
Eti nina mashimo ya migodi kakola! Hivi huoni hata aibu kudanganya,watu walishaanza kufatilia nyendo zako toka zamani,huna cha mashimo wala nini,Baba yako alikupa pesa ili walau mtoto wake usipate shida mjini,ukaenda kununua hivyo vifusi vya mchanga huko mgodini,uwe unasaga mawe, biashara haikuenda vizuri,mkafunga na hamkupata pesa hata kidogo,ULIVYO WA HOVYO,ukaenda kudanga kwa jamaa mmoja siwezi mtaja jina,naye biashara ikabuma,ukarudi nyumbani huna hata mia!!
Jamaa yangu juzi kakuona pale stand msamvu,huna mbele wala nyuma! Halafu eti unajitia fyoko fyoko hapa! Huna lolote wapige kamba wasiokujua! Na sasa hivi una number ya Airtel na halotel! Mme wako alishakufumania mara kibao,alishawahi kukupiga nusura ufe! Hebu acha shobo tukutunzie heshima yako! Watu walishaenda hadi kwenu ifakara kwa baba yako Mzee Ben! Naomba niishie hapa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua tu sitasalimika kwenye hii madaHivi ndio yule wa mshana Jr?
Imeuma kama dagger [emoji2787] kwa Urethra "watoto"Ni nani huyo shost, embu njoo PM maana asije kuwa miongoni mwa walionifuata PM, wanaume wa humu wengi ni kama watoto tu [emoji3064]
Hahaha[emoji23]Kwamba alikuwa mtu wa brother mshana Jr?
Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?Chuma alichompiga nacho hiki hapa.
_____
comment yangu,sijataja mtu,ila umejishitukia kuwa hizo ndiyo tabia zako,sasa ngoja nikupe ushaidi!
Wewe binti ni mtu wa ajabu sana! Nikianza kukuanika upuuzi wako hapa tunaweza kukesha!
Mimi nakujua kupitia kwa rafiki yangu mmoja hivi yuko dsm! Mara ya kwanza kabisa mlikutana morogoro sehemu moja inaitwa 88,mara ya pili mlikutana kibaha,mara ya tatu dsm! Huyo jamaa ni polisi lakini ana kazi nyingine, ana gari nyeusi aina ya Kluger, Na alikua anakufatilia kuhusu upuuzi wako wakuitukana serikali,na walipoona your not a threat walikuacha tu! Tena mara ya kwanza walikuita kule nane nane,kwenye majengo ya ufichoni sana,bila kujua na wewe ukaenda kweli! Jamaa alikufirimba na mwisho wa siku,akakuuliza gari umeacha wapi,mara ohh sijui gari imeisha mafuta nimeacha sehemu furani!
Basi yule bwana alipokuona huna maana alikuacha,akampa rafiki yake number zako,wewe si ulikua unatumia line ya tigo ya 0713 inaishia na 96?? Yule jamaa alikupigia simu,mkaongea then ukaomba nauli utumiwe kwamba ukimaliza kufua,utaenda,ukala pesa za watu bila hata ya kwenda! Ukaomba pesa za birthday ya mtoto wako! Ukatumiwa! Leo hii unaleta shobo hapa!
Kila siku unajifanya una maisha ya maana,kumbe choka mbaya tu,unashindwa kulipa hadi pesa za house girl wako,nyumba unaishi hata haijaisha,ndoa yako migogoro kila siku,shule hukumaliza,ulipigwa mimba,huyo kaka alikuacha sababu ya vituko vyako!
Eti nina mashimo ya migodi kakola! Hivi huoni hata aibu kudanganya,watu walishaanza kufatilia nyendo zako toka zamani,huna cha mashimo wala nini,Baba yako alikupa pesa ili walau mtoto wake usipate shida mjini,ukaenda kununua hivyo vifusi vya mchanga huko mgodini,uwe unasaga mawe, biashara haikuenda vizuri,mkafunga na hamkupata pesa hata kidogo,ULIVYO WA HOVYO,ukaenda kudanga kwa jamaa mmoja siwezi mtaja jina,naye biashara ikabuma,ukarudi nyumbani huna hata mia!!
Jamaa yangu juzi kakuona pale stand msamvu,huna mbele wala nyuma! Halafu eti unajitia fyoko fyoko hapa! Huna lolote wapige kamba wasiokujua! Na sasa hivi una number ya Airtel na halotel! Mme wako alishakufumania mara kibao,alishawahi kukupiga nusura ufe! Hebu acha shobo tukutunzie heshima yako! Watu walishaenda hadi kwenu ifakara kwa baba yako Mzee Ben! Naomba niishie hapa!
Sijasalimika aisee[emoji23]Mshana Jr@ unaitwa huku mzee wangu
mambo!Huu Uzi ulioibua haya yote naukumbuka vyema.. Na ukijaribu kujiuliza kwa lugha nyepesi chanzo cha huyo jamaa kuleta hayo yote ilikuwa ni nini? Na hakuna sehemu alipoulizwa...Wangari alikuwa anachangia kama member wengine kilichomfanya yeye kuandika yote hayo ni kitu gani?
Nadhani ilikuwa ni chuki tu za huyo jamaa.. kaandika mambo kibao kwa Mwanaume anayejielewa asingeweza kuandika au kuleta yote hayo.. Ameonesha kiwango chake cha kufikiri kilivyo..
Binafsi sijawahi kuona shida ya Wangari.?sasa kama anauza au ana mashimo ya dhahabu au hana ilikuwa ni juu yake.. JF inampa uhuru kila mtu kufanya au kujieleza namna anavyotaka ila tu asivunje kanuni..
Ni ME wangapi humu full kujisifia na hakuna mtu anayewa'offend? Kuna ME humu full kupondea gari za Kijapan lakini hakuna mtu anayewanyooshea vidole.. Na sababu hasa ni kuwa JF kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyotaka ila tu asivunje kanuni,taratibu na sheria.
Sasa huyo Dada yeye kama alikuwa anajisifia mambo ya Migodi na vitu kama hivyo..Huyo jamaa na wengineo walikuwa wanapata shida gani? Ifike mahali tupunguze kuumia na mambo ya wengine..
NB.. Hii haikuhusu wewe uliye'repost hii comment Mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa G..mambo!
kwann hukunitag[emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huu uzi utaibua mengi