Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Mimi nataka id ya mutamu mutamu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikupe basi elf 20 uniambie, usinibanie merii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
20k?? Wee una utani, hiyo hata haifikii bei ya ile pensi aliyotupia, hapo hujaweka mguu wa bia + maudambwi udambwi mengine.
Ongeza dau best nitakuachia tena mazima maana saivi naishi kwa hofu nishatishiwa maisha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Baada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni

Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.
Serious mbavu zangu zinauma sana sana saivi, nahitaji break nitoke huku kwa muda nirudi jioni nikiwa nimepona๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
20k?? Wee una utani, hiyo hata haifikii bei ya ile pensi aliyotupia, hapo hujaweka mguu wa bia + maudambwi udambwi mengine.
Ongeza dau best nitakuachia tena mazima maana saivi naishi kwa hofu nishatishiwa maisha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ngoja niombe witty anikopeshe nije, kuomba tena ๐Ÿ˜
 
Baada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni

Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.

maskini ndiyo maana alikua hajiamini
 
Weka hata ya KimKardashian tunamjua na tunajua siyo wewe lakin jinsi itakavyokua inapendeza tunaanza kuhusianisha na wewe kihisia kuwa utakua mrembo hivyohivyo , Nilishawahi kumtongoza mdada fB kisa napenda jina lake na jinsi anavyo andika comments zake yaani hajaweka hata profile pictures ipo ile kivuli ila nikamsifia kuwa yeye ni mrembo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee.

Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu.

Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje? Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.

Wengine waliopotea humu ni;
1. massai dada
2. mama facebook
n.k
.w
 
Back
Top Bottom