Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Huyo bibi niachie mzee mwenzieKwahiyo babu unaruhusu haya?😁
We pambana na hawa kina Manengelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bibi niachie mzee mwenzieKwahiyo babu unaruhusu haya?😁
Pancho umeokota mume KIMASIHARABasi mume wangu ngoja nikakufulie nguo sawa?😁
Kwahiyo alichopatiwa alistahili?Sasa Mangungu angefanyaje maana alianza kwa kuonya wote wanaomkandamiza dogo ila Wangari akaibuka na kureply si angemute tu kama wengine.
Ugomvi wowote hakuna kuchaguliana silaha
Kwa kuwa nimeshawazoea nikamsikiliza nione mwisho labda ataweza nipa mawe nikatusua life,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hukuogopa? Mimi ningekua wewe ningemblock hapo hapo. Unatongozaje mtu humjui? Je kama ndo mtu wako nae yuko huku?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ni auto shoo, nikiitoa mule naipasi navaa, sina shida ndogo ndogo mie😂😂Ni auto? 😂😂 hamuendi kuongeza mara 15 iendelee kufua, mara u drain
Mkuu kwenii wewe ni Ke?Basi mume wangu ngoja nikakufulie nguo sawa?[emoji16]
Natamani niingie pm kwako..Acha uoga mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Humu wote tunaigiziana maisha. Avatar, tunavyoandika na uhalisia ni tofauti.
Ukimuelewa mtu zama pm chaaap maisha yake mazuri utayajua huko mbele mkishaonana.
Sema tu kaka zetu mnalalamikaga eti sisi tuna sura za ancestors wetu ndo maana hawatufuati hawataki kupoteza muda
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mbona alichopatiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ya huo msemo ni nini?Mkuu sterling kufia kwenye maua😂, huu msemo wa ticha wetu😂 au ndiye wewe maana jf uwanja mpana huu🙌
Yule mutamu mutamu alitrend majuzi 😂😂😂😂 ila jf ni kama isidingoNilijinunulia, wadada wa JF tuna hela.
Mkaka mutamu mutamu, how i wish🤣🤣🤣🤣🤣
We mnafiki[emoji16][emoji16][emoji16]Mi nipo katikati [emoji23][emoji23] au naendeleza unafiki???
Maneno aliyokua anaonge kwenye uzi ule yalimfanya hadi jamaa mleta mada aanze kuomba msamaha kwa wadau. Alianza kujiona yee ndio mwenye makosa kuleta uzi wa kutapeliwa, wadau wakamuweka 18. Mangungu alikoment bila kutaja mtu bidada ikamtachi akampalamia mzee mangungu akamwaga faili zima. Watu walifurahia ila hapa wanajifanya kumtetea.
Unafki mbaya
Yule gal ana matatizo nadhani maana hafi picha zake za uchi watu waliziona 2018 na 2019 wakamlipua JLW ila bado hakomi.
Halafu kuna watu humu walihifadhi picha zake za uchi ila hapa wanajifanya malaika, nawachora tu[emoji1][emoji1]
Ipeleke kimasihara basiPancho umeokota mume KIMASIHARA
Ahaaahaaa[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Namuoma Wangari Mathai amepiga kambi humu [emoji1][emoji1]
Hahahaaa mguu wa bia ule watu wakautamani😂 Ila Eve aki bado siamini kama ulikua serious au uliamua tu kunistua kidogo😂😂Yule mutamu mutamu alitrend majuzi 😂😂😂😂 ila jf ni kama isidingo
Humu jf bana [emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji16]Nasikitika ujaniita mapema[emoji23][emoji23]
Twin aliboa
Yule mutamu mutamu alitrend majuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila jf ni kama isidingo
Humu jf bana [emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Jana na Leo ndo nimeamini humu watu wamepinda[emoji1787][emoji16][emoji16]
Yaan mtu anajiponda tena anajiharibia kabisa kuwa anauza uchi kwa id nyingine kabisa[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Sitakaaa nisahau huu uzi asee
Ahaaaahaaahaaa eve[emoji16][emoji38][emoji1787][emoji1787]Washing machine ulijinunulia? Au ulinunuliwa na yule kaka mutamu mutamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]