The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Na ule uzi wengi Walimshambulia mleta mada.. Ila Yule member akaamua kumfanyia vile Wangari.. sasa kama siyo chuki Binafsi ni nini?
Maana angeweza kujibizana naye kwa namna nyingine ila kuanza kumtolea mambo yake ya nje pale.. haukuwa Uanaume ule..
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikuulize wewe ni ipi hasa defination ya uanaume?maana toka huko juu nakuona unatiririka tu “haukuwa uanaume haukuwa uanaume”,unadhani uanaume ni kukaa kimya hata kama mambo yakionekana kuwa mrama?uanaume ni kuwa really!
Hapa jukwaani wapo watu hawacheki cheki na watu hovyo,kama umekiri mwenyewe kwamba aliyeshambuliwa alikuwa mmoja wa walioegemea upande wa tapeli then inaonekana alikanywa akaendelea kuwa kiburi mwisho wakamlipua.na upo uwezekano hata aliyemtapeli huyo kijana ni huyo huyo Wangari ila kwa id yake nyengine ilipoanzishwa mada kuhusu utapali wake akarudi kwa I'd yake original kumshambulia,humu mitandaoni tuheshimiane usimtetee mtu sometimes nyuma ya hizi IDs wapo watu wanalia machozi ya damu kwa tunayofanyiana humu.