Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Sasa mbona umefuta comment yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mimi sio demiss wala hata usijipe mashida.
Hata hujaogopa kuandika mimi nimebadili mada wakati unaona hapa mambo yanakwenda by flows.

We nae njoo PM nikupe na picha basi maana naona mnasumbuka tu for no reason 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom