Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Huyo mtu anaesemwa aje huku ajibu tuhuma hzi

Siku zote ukiwa sehemu usifanye kitu ambacho Kuna siku kitakutoa uthamani wako katika jamii uliopo na weng huwa hawajui Hilo

Huyo ulie nae hujui Yuko sehemu gani na Nini anafanya,
 
Asante nimeipata mkuu! Kumbe ndo maana kakimbia Uzi wake baada ya kujulikana. Yaani huyu hakuna chochote ni demu wa kawaida sana
Kuna siku nilimwambia kitu akasema oooh ndio maaan nimekunyima namba pm kumbe nilikuwa na mawazo tofauti kabisa

Nilimuona bar flani pale Dom akiwa na wenzake nikajaa nikamwambia wakaida Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongereni mnaopokea mishahara maana bila nyie bidhaa zetu nani angenunua? Hotel Chumba elfu 70? Basi Guest za Huko Dom zitakuwa Buku 3.
 

Mkuu hata wewe unaruhusiwa kupost mambo yako ya chumbani, acheni kumuonea mtoto wa watu, angekua anaposti vitu vyake akakosa wachangiaji ..angeacha, kuna watu wanapenda mada zake hivyo hivyo...sema una ishu nyingine binafsi, Kama kakudanga ...pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…