Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Huyo mtu anaesemwa aje huku ajibu tuhuma hzi

Siku zote ukiwa sehemu usifanye kitu ambacho Kuna siku kitakutoa uthamani wako katika jamii uliopo na weng huwa hawajui Hilo

Huyo ulie nae hujui Yuko sehemu gani na Nini anafanya,
 
Asante nimeipata mkuu! Kumbe ndo maana kakimbia Uzi wake baada ya kujulikana. Yaani huyu hakuna chochote ni demu wa kawaida sana
Kuna siku nilimwambia kitu akasema oooh ndio maaan nimekunyima namba pm kumbe nilikuwa na mawazo tofauti kabisa

Nilimuona bar flani pale Dom akiwa na wenzake nikajaa nikamwambia wakaida Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umefunga pm


Screenshot_20190824-212808.jpeg
 
Mkuu, huwa nakuheshimu sana ila twende kiuhalisia. Je ni sahihi kila unapoenda kulala na mwanamke ututaarifu humu ndani?

Naona umeandika we are bullying her, lakni kiuhalisia ni tabia yake mbovu ya ku post vitu vyake vya chumbani akiwa na mabwana ndio imepelekea haya yote.

Inaonekana alikosa malezi fulani kwenye familia yake au bado utoto unamsumbua? hata kama ni kutafuta umaarafu humu ndani si kwa kupost vitu negative kama hivyo anavyoenda kubanduliwa...

She is insane..

Mkuu hata wewe unaruhusiwa kupost mambo yako ya chumbani, acheni kumuonea mtoto wa watu, angekua anaposti vitu vyake akakosa wachangiaji ..angeacha, kuna watu wanapenda mada zake hivyo hivyo...sema una ishu nyingine binafsi, Kama kakudanga ...pole
 
Back
Top Bottom