Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Ndo naingia mda huu foleni ilikuwa ndefu sana ATM hata sijui kinachoendelea!
 
Hiyo thread alimtumia mdau huyu unae mu-attack pm?
 
location anapoenda kuliwa si ndio?? na si mara moja kuna nyuzi zake nyingi anajisifia anajiuza...

hawa ndio wanafanya wadada wadharaulike, hana soni ya umama kabisa...
Mkuu pm yangu iko on fanya mambo baharia!!
 
Nimeipata picha ya demiss ila nisingekuwa na connection hapa mjini nisingeipata
 
Kwa ulichofanya unaona wewe ndio wazazi walipatia malezi yako? Mara ngapi wanaume mmekuwa mkipost humu ujinga mnaofanya? Lini ulimbuly mwanaume alofanya hivyo?

Wewe una mambo yako binafsi na D, kama amekulia pesa yako basi kapambane nae alikokulia pesa yako na sio kuleta hasira zako binafsi kwa D.

Hiki unachofanya ni cyber bullying na nashangaa unajiona uko sahihi. Umepost picha zake,ukapigwa ban kama haitoshi bado umefungua id mpya kwaajili ya kumbully na kuendelea kusambaza picha zake. Sijui unatarajia kuachive nini.

GROW UP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…