Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Cha ajabu wao wanamlaumu D kuleta mambo yake personal humu ndani wakati wao wameleta mambo yao personal humu ndani, akili zao zina walakini.Mkuu hata wewe unaruhusiwa kupost mambo yako ya chumbani, acheni kumuonea mtoto wa watu, angekua anaposti vitu vyake akakosa wachangiaji ..angeacha, kuna watu wanapenda mada zake hivyo hivyo...sema una ishu nyingine binafsi, Kama kakudanga ...pole