free lander
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 307
- 288
Inabidi akate rufaa kwa kuambatanisha na picha yake halisi.Mademu wakali wamo kibao zinazovujishwa sio zao halisi
Zingekua sizao wala wasingekimbia jukwaa najua wengine si zao ila kwa hili la juzi kati huwezi kutulisha tango poriMademu wakali wamo kibao zinazovujishwa sio zao halisi
Siwezi na sina ujasiri huo....Dina.Joshy asante sanaa nakuappriciate sana tu ila nikiona umechomoa betri za watu utaniudhi sanaa [emoji3320]
Pamoja na kunibania picha ila mzigo nimeupata kasoro wa Manengelo. Ni mwanamke mzuri na mcheshi. Ukiwa naye lazima utabasamu muda wote kwa ucheshi wake. Kila binadamu ameumbwa mzuri ila shida inakuja kwetu sisi kusema huyu ni mzuri na huyu ni mbaya ila hakuna maana sahihi ya neno mzuri. Kwa lugha nyingine tunasema uzuri wa kitu au mtu upo machoni mwa mtu. Wewe unaona kibaya mwingine anaona kizuri Hiyo avatar yako kuna watu watasema ni mwanamke mbaya ila kuna mwanaume kafa, kaoza na hambiliki na anasema wewe ni mzuri kuliko wanawake wote duniani. Wanawake mnakosea kitu kimoja kutojikubali kuhusu uzuri wenu. Kuna mwanamke mmoja aliniambia utanipenda kweli, mbona mimi ni mbaya? Nilimuambia hakuna mwanamke mbaya duniani wote ni wanawake wazuri. Ungekuwa mbaya wala nisingekutongoza. Huwa napenda sana kusikikiliza wimbo wa P-square NO BODY UGLY. Utafute na usikilize tafuta video ndiyo nzuri zaidiHaiwezekani mkuu
Si kweli kama nilikubania mkuu nilikwambia ukweli wangu kwamba Sina picha, Asante nitausikiliza wimbo No body ugly.Pamoja na kunibania picha ila mzigo nimeupata kasoro wa Manengelo. Ni mwanamke mzuri na mcheshi. Ukiwa naye lazima utabasamu muda wote kwa ucheshi wake. Kila binadamu ameumbwa mzuri ila shida inakuja kwetu sisi kusema huyu ni mzuri na huyu ni mbaya ila hakuna maana sahihi ya neno mzuri. Kwa lugha nyingine tunasema uzuri wa kitu au mtu upo machoni mwa mtu. Wewe unaona kibaya mwingine anaona kizuri Hiyo avatar yako kuna watu watasema ni mwanamke mbaya ila kuna mwanaume kafa, kaoza na hambiliki na anasema wewe ni mzuri kuliko wanawake wote duniani. Wanawake mnakosea kitu kimoja kutojikubali kuhusu uzuri wenu. Kuna mwanamke mmoja aliniambia utanipenda kweli, mbona mimi ni mbaya? Nilimuambia hakuna mwanamke mbaya duniani wote ni wanawake wazuri. Ungekuwa mbaya wala nisingekutongoza. Huwa napenda sana kusikikiliza wimbo wa P-square NO BODY UGLY. Utafute na usikilize tafuta video ndiyo nzuri zaidi
kuna mtu anapunwa mshahara wake masikini.
Mimi naanza na hivi vitumbua kabla hujanitunuku kile kingine kilichonona zaidiView attachment 1188850
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Jeiefu imemuharibu ndugu yangu @mwifwa
Dada yangu mpendwaSi kweli kama nilikubania mkuu nilikwambia ukweli wangu kwamba Sina picha, Asante nitausikiliza wimbo No body ugly.
Usisahau na mm kiongozNimeku PM mkuu..
Asante nimeipata mkuu! Kumbe ndo maana kakimbia Uzi wake baada ya kujulikana. Yaani huyu hakuna chochote ni demu wa kawaida sana
Nimefika kaka yangu AndjulDada yangu mpendwa
Aliyekugegeda kwenye hicho chumba ndio kakuanika..
Namshukuru Allah. Sinaga akili hizoUkichomoa betri je🤣🤣[emoji41]
nataka tugawane matesoHii ndo ya zamani na mpya mkuu vipi unateseka
Hahahaha aseeNawasha data niingie kwenye uzi wang ule nitupie kapicha nakuta umefutwa
nataka tugawane mateso