Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Haiwezekani mkuu
Pamoja na kunibania picha ila mzigo nimeupata kasoro wa Manengelo. Ni mwanamke mzuri na mcheshi. Ukiwa naye lazima utabasamu muda wote kwa ucheshi wake. Kila binadamu ameumbwa mzuri ila shida inakuja kwetu sisi kusema huyu ni mzuri na huyu ni mbaya ila hakuna maana sahihi ya neno mzuri. Kwa lugha nyingine tunasema uzuri wa kitu au mtu upo machoni mwa mtu. Wewe unaona kibaya mwingine anaona kizuri Hiyo avatar yako kuna watu watasema ni mwanamke mbaya ila kuna mwanaume kafa, kaoza na hambiliki na anasema wewe ni mzuri kuliko wanawake wote duniani. Wanawake mnakosea kitu kimoja kutojikubali kuhusu uzuri wenu. Kuna mwanamke mmoja aliniambia utanipenda kweli, mbona mimi ni mbaya? Nilimuambia hakuna mwanamke mbaya duniani wote ni wanawake wazuri. Ungekuwa mbaya wala nisingekutongoza. Huwa napenda sana kusikikiliza wimbo wa P-square NO BODY UGLY. Utafute na usikilize tafuta video ndiyo nzuri zaidi
 
Si kweli kama nilikubania mkuu nilikwambia ukweli wangu kwamba Sina picha, Asante nitausikiliza wimbo No body ugly.
 
Mkuu Mr W nikiwa mwanachama mstaafu wa chaputa fanya kushea nijilupue au mbaya ajakaa kimitego
Asante nimeipata mkuu! Kumbe ndo maana kakimbia Uzi wake baada ya kujulikana. Yaani huyu hakuna chochote ni demu wa kawaida sana
 
Back
Top Bottom