Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Haahahha mbona unamuulizia hivyo mbebez wa watu shauri yako sitakugombelezea mimi

Huh!!!

Mi mbebez wa nani tena?

Isije kuwa mtu kaniota kwenye ndoto zake huko halafu akanifanya niwe mbebez wake kichwani mwake!

Au isije kuwa nime-Like bandiko la mtu halafu huyo mtu akadhani mi ndo bebi wake.

Hebu fanya kunijulisha....leo nani anasema mi ni mbebez wake [ukiondoa Mother Confessor]?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…