Yeeey. Niache kuishi kisa MTU anasema kweli? Sio Mimi kabisa.
Hahahaha
Huyo uliyekuwa nae insta ni shunie rapa eti Mzigua90 nina muda gani nimefunga acc yangu ya insta si unaenda mwaka huu
Kumbe anaongelea ile ingine ambayo haina hata picha zako?
Yaan sijui kakutana na shunie gani uko jamani shunie anayepanda ndege kama anaenda kariakooKumbe anaongelea ile ingine ambayo haina hata picha zako?
Hahahaha
Huyo uliyekuwa nae insta ni shunie rapa eti Mzigua90 nina muda gani nimefunga acc yangu ya insta si unaenda mwaka huu
Kumbe anaongelea ile ingine ambayo haina hata picha zako?
nimechekaaa asee [emoji23][emoji23][emoji23] eti dushwaaa ..
situmii insta babe... mimi kinywaji tuuu ndio kilevi nachotumia
Unanijua vizuri ndugu yangu siwezi ishi kisa watu wa JF kabisa yani. Naponda mali Kama kawaLive ur life mama achana na watu wa jf wa kuponda nyuma ya keyboard usikute wanaishi kwa dada zao wanagombania remoti hawana majukumu yoyote
Wanazuga tu. Sema JF kila MTU yuko perfect ndo maana kunyoosheana vidole ni kawaida
When life gets harder, challenge yourself to be stronger. Muda wako ni mdogo, usiupoteze kufatilia maisha ya mtu mwingine!Wakati sisi tukiwa online muda wote wewe unakuaga wapi? Hayo uliyoyaandika yote uko sawa sawa kabisa kuhusu sisi, Una tatizo Na sisi kuwepo online muda wote?
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe.
Muache ndugu yangu Hana hizohaina picha ??? [emoji23][emoji23] akati wiki iliyopita imepostiwa picha yupo joburg anakula bata [emoji23]
haina picha ??? [emoji23][emoji23] akati wiki iliyopita imepostiwa picha yupo joburg anakula bata [emoji23]
Mimi wewe Na wenzetu wa chache hatuko jamaniHapo kwenye kila mtu we dada mm unitoe
Unanijua vizuri ndugu yangu siwezi ishi kisa watu wa JF kabisa yani. Naponda mali Kama kawa
Bby ushatafuta NYUMBA kwanza Mwezi ujao tuhame?When life gets harder, challenge yourself to be stronger. Muda wako ni mdogo, usiupoteze kufatilia maisha ya mtu mwingine!
Achana nae huyu baby!
Muache ndugu yangu Hana hizo
Mimi wewe Na wenzetu wa chache hatuko jamani
hahahah... insta babe unajua hilo neno umenikumbusha utotoniNdio insta babe si inaitwa dushwaa hiyo hayo majani itakuwa unatumia bwana haiwezekani hiyo avatar uipende hivyo