Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Nimempenda mleta uzi, kaachia bomu kaondoka🤣😂.
 
Live ur life mama achana na watu wa jf wa kuponda nyuma ya keyboard usikute wanaishi kwa dada zao wanagombania remoti hawana majukumu yoyote
Unanijua vizuri ndugu yangu siwezi ishi kisa watu wa JF kabisa yani. Naponda mali Kama kawa
 
Wakati sisi tukiwa online muda wote wewe unakuaga wapi? Hayo uliyoyaandika yote uko sawa sawa kabisa kuhusu sisi, Una tatizo Na sisi kuwepo online muda wote?
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe.
When life gets harder, challenge yourself to be stronger. Muda wako ni mdogo, usiupoteze kufatilia maisha ya mtu mwingine!
Achana nae huyu baby!
 
Jamani jamani huyo mdada mbona ananitafutia balaa mara ya mwisho kupanda ndege sijui elfu mbili na kumi na ngapi uko nimeshasahau mm khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haina picha ??? [emoji23][emoji23] akati wiki iliyopita imepostiwa picha yupo joburg anakula bata [emoji23]
 
Ina maana na wewe mleta uzi kila sehemu unatia mguu ndio maana umewagundua hao kila sehemu wapo
 
Ndio insta babe si inaitwa dushwaa hiyo hayo majani itakuwa unatumia bwana haiwezekani hiyo avatar uipende hivyo
hahahah... insta babe unajua hilo neno umenikumbusha utotoni

dushwaa dushwaaa kufa kufa mbona hufi sana akati nimekupiga utata unaanza hapo na mchezo unaishia hapohapo

kwan ni majan gan hayo insta babe 😂😂
 
Back
Top Bottom