Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze


Mpaka hapa ni sawa na na umeshaitaja hiyo ID, kukicha tutakuja PM.

Hii vita si ya kuacha iende hivi hivi.
 
Nishauelewa huu mwandiko ni wa nani...

Mloanzaga na Mshana jr, mkamshindwa mmeamua kuponda wengjne
 
Haaah ngoja waje utawaona japo mengine umesema kweli kama kuna huyo mmoja hata kama hana cha kuandika ataandika tu hata ujinga alimradi aonekane yupo,shit!!

Huo ujinga aliouandika,!!
Ni yupi sasa Mjinga wewe uliousoma huo ujinga au mwandikaji wa huo ujinga[emoji1321]‍♂️
 
Umetaja kazi lkn huna unayoijua naamini! Usingekua na mawazo mafupi hvo
Sibishani na wasiotumia ubongo, sikilakitu uchambuliwe tumia ubongo kichwa bila hivyo ni kichwa maji kama wengine.
 
JF inawaondolea stress na mawazo hasa pale unapokuwa huna cha kufanyaa!!

Sijui km mitandao ya kijamii isingekuwepo, vijana wasio na ajira wangefanya nn!!
Tungekuwa tunaosha vyomba vyumbani mkuu kuwapunguzia dada zetu kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…