Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Bora ulivyoachana nalo endelea kunywa gambe insta babe hapo ndio pazuri sana
hapa kwenye kinywaji mbona nimekua mchangiaji wa kodi mzuri tu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ulivyoachana nalo endelea kunywa gambe insta babe hapo ndio pazuri sana
Demis mwingine huyu hapa.walewaleBarmaid kumbe hapo sawa kumbe jamaa yuko sawa mda wote Una simu na wateja hahahahaaaa roho yangu kwatu
Uko poa?njoo digital pub unywe ule japo mm situmii kilevi bosi.Hahahaha
Kwenye ubora wako kapwil mm nakupenda tu
A bachelor seriously seeking a wifeUlitaka itoke kwa nani?
Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
Haaah ngoja waje utawaona japo mengine umesema kweli kama kuna huyo mmoja hata kama hana cha kuandika ataandika tu hata ujinga alimradi aonekane yupo,shit!!
Sibishani na wasiotumia ubongo, sikilakitu uchambuliwe tumia ubongo kichwa bila hivyo ni kichwa maji kama wengine.Umetaja kazi lkn huna unayoijua naamini! Usingekua na mawazo mafupi hvo
Nyimamadogokumanga.Dah...ngoja nitafute kivuli nitulie nisikilizie majibu [emoji85]
Tungekuwa tunaosha vyomba vyumbani mkuu kuwapunguzia dada zetu kazi.JF inawaondolea stress na mawazo hasa pale unapokuwa huna cha kufanyaa!!
Sijui km mitandao ya kijamii isingekuwepo, vijana wasio na ajira wangefanya nn!!
Mbona mmemind kwani kushinda JF ni dhambi?Huhitaji kujielezea Kwa yeyote bwana hata ukishinda huku hamna anaepunguziwa hela wa Oxygen
Nipo mkuu vipi!Mkuu Daby vipi..
Naona unataka ban mzee?Ungemjua mleta mada ni nani, ungecheka mpaka uzimie. Ni shosti yako sana tu, kaamua kutumia ID yake nyingine.
Maamuzi ya nini?Maamuzi yameshatolewa au bado? ,ndio naamka twendeni kanisani
Huu uzi mmechukua maamuzi ganiMaamuzi ya nini?