Na hujawahi kupata ban hata siku mojaaView attachment 889336
Wiki ijayo natimiza Miaka 8 Tangu Nijoin JF na Miaka 10 kwa Tangu Kuijua JF 2008.......Ni kweli nipo kitambo sana.
Umeona eeehUwiii kumbee basi aseme tuanze kazi
Mimi wala sijamind nashangaa MTU kuanza kuelezea nashinda au sishindi. Ili amfurahishe nani sasa. Kwani tukishinda kuna shida gani?Mbona mmemind kwani kushinda JF ni dhambi?
Maamuzi ni kwamba tunaenda kuomba kazi ya umoderator vigezo tunavyoMaamuzi yameshatolewa au bado? ,ndio naamka twendeni kanisani
Weeee. Nikiiacha JF naweza pata depression kwa kushindwa kuhandle stress zangu nikivurugwaAhhahaha maamuzi ni kuikacha jf milele[emoji23][emoji23]
Mmetakuwa mmekomeshaa maana ndio mtazidi kushinda na watakaokereka watakufwa kabla ya muda[emoji23][emoji23][emoji23] na ban juu mnawaongezeaMaamuzi ni kwamba tunaenda kuomba kazi ya umoderator vigezo tunavyo
Teeena. MTU anatukubali kimya kimya. Sisi hatuna shida kwanza aje tu atuombe urafiki na mbinu za kuwa online na nyotaaNa ukiona MTU /WATU wanakufuatilia sana ujue wanakukubali na kukuogopa ,nakujifanya wanakujua Sana
Tunakeshaga nae sijui jukwaa gani lakini.Mzigua90 huwa analala bhana!!
Jamani dada mambo gani haya.Hahaha nawatakia jumapili njemaView attachment 889181
Tatizo Mimi alitaka tu kunisema roho yake iridhike. Na nimepokea maswali yake..Ila Demiss kazidi, khaaaa!!
Kila uzi wake,
Mzigua umemwoneaa!
HahahahaTeeena. MTU anatukubali kimya kimya. Sisi hatuna shida kwanza aje tu atuombe urafiki na mbinu za kuwa online na nyotaa
Apambane na yake kwanza yetu yako vizuri kabisa.Hapo sasaa!!anaumwa na maisha yenu kuliko yake!!kwa nini mkwe hukunitonyaa...Jana kule chembaaa ningennua kesi ujuee..amegusaaaa watu wangu nnaowapenda!aaaaarhhhhgggghhhhh
Laana imemtoa na akiliHahahaha laana ya mama imemvaa. .hadi kuchanganyikiwa kufuatilia ya wengine
Sijui kwanini kamuweka na Bibi yangu Sky jamaniTarget hukuwa wewe, umeingia ili isiwe list ya mtu mmoja.
Pole ndugu.
Kuna tofauti ya masaa kati yetu na wao...huku kukiwa mchana kwao ni usiku...halafu wote wanabebika sio singo mazasKuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?
Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.
Khaaa!!!!
Bora angetuweka Mi na Demiss kumuweka Sky sijapenda kabisa. Kwanza hanaga muda na MTU mwenyewe. Wivu tu unamsumbua kuona tunapendwa. Nani atamkubali MTU anaeweka Uzi amelala na babake mzazi. Unaweka Uzi wa kushusha heshima yako halafu unataka na wengine wawe dragged kwenye level yako.Kwa mdada kama Sky eclat, kumuuliza maswali ya kipuuzi kama hayo ni kujidhalilisha mwenyewe.
Huyu dada yuko smart kichwani, ni mtani wa watu, mcheshi na hajiskii kabisa(simple).
Hivi unawezaje ukawa na tatizo na mtu kama huyu??
Nadhani mtoa mada ni wivu tu na umasikini ndo unaokusumbua.
Kwani ulishawahi kuwafata PM ukawauliza vimaswali vyako vya kimasikini wakashindwa kukujibu mpaka uje kuanzisha uzi wa kipumbavu??
Haya ukishapata majibu ya maswali yako, itakusaidia nini??
Usipende sana kujipendekeza kwa watu usiowajua, watu tunawapenda uliowataja na tunawaheshimu na tunafurahi sana tuwaona online kila mda.
hahahhahTunakeshaga nae sijui jukwaa gani lakini.
Sijui kwanini kamuweka na Bibi yangu Sky jamani
Yani atakufa kwa wivu jamani.Mmetakuwa mmekomeshaa maana ndio mtazidi kushinda na watakaokereka watakufwa kabla ya muda[emoji23][emoji23][emoji23] na ban juu mnawaongezea
Mchumba unanijua lakini ninavyojua kuhandle watu na maujinga yao. Hili limeisha hapa nachit chat tu. Basi akipita hapa akisoma roho yake kwatuuuuuuu kamuwekea Uzi mziguaHope you will handle it accordingly.
Nakuamini.