Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Mchumba unanijua lakini ninavyojua kuhandle watu na maujinga yao. Hili limeisha hapa nachit chat tu. Basi akipita hapa akisoma roho yake kwatuuuuuuu kamuwekea Uzi mzigua

Sawa Mchumba.

Ngoja nielekee jukwaa la Liverpool huku nikisubiria game ya Man City.
 
Mtu anayemcheka single mom ni mwehu hana akili aisee kwanza kwa nchi hii tuseme wanaume wengi hukwepa majukumu single mom wanajitoa kwa hali na Mali, ni huku tu JF jukwaa la great thinker huwazalilisha single mom kiukweli ni upuuzi, napenda wamama wanao struggle kulea watoto wao. Wabarikiwe sana
 
Again, cyber bullying!

Huenda stress zinasumbua watu ndio maana hawaishi ku-attack wengine mitandaoni, huenda loneliness, depression nk. Mleta uzi huenda lolote katika hayo linakusumbua.

Live and let live...!
Live to Love...
 
Nakupenda ujue!!!basi tu!!
 
Bora kua single mama kuliko kurudi kwa ile tafrani hapana kwa kweli!!! Loohh!!

Mimi wanione wanvyoona wao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…