Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Mchumba unanijua lakini ninavyojua kuhandle watu na maujinga yao. Hili limeisha hapa nachit chat tu. Basi akipita hapa akisoma roho yake kwatuuuuuuu kamuwekea Uzi mzigua

Sawa Mchumba.

Ngoja nielekee jukwaa la Liverpool huku nikisubiria game ya Man City.
 
Nikiwa Darasa la Saba, Mzee alianza ugomvi Nyumbani.. mara Kumpiga mama n.k, Kulikuwa na Guest House akauza.. maduka yalikuwepo mawili akauza.. akaoa na mke wa pili.. akahama na nyumbani.. tukabaki na Mama.. maisha yalikuwa Magumu sana kwa sababu hatukuzoea kuishi hivyo.. Mama alitusomesha kwa shida vivo hivyo Mpaka namaliza chuo Kikuu na Mdogo wangu wa Mwisho yupo Kidato cha Nne.. Hakukuwa na Msaada wa mzee.. Mom was single, Na hakutuacha.. Kila ninapokumbuka haya kamwe siwezi kuwadharau single moms.. maybe wana makosa yao ila katika case ya kulea familia zao kamwe siwezi kuwabeza!.. Kaza mama Yajayo yanafurahisha!!
Mtu anayemcheka single mom ni mwehu hana akili aisee kwanza kwa nchi hii tuseme wanaume wengi hukwepa majukumu single mom wanajitoa kwa hali na Mali, ni huku tu JF jukwaa la great thinker huwazalilisha single mom kiukweli ni upuuzi, napenda wamama wanao struggle kulea watoto wao. Wabarikiwe sana
 
Again, cyber bullying!

Huenda stress zinasumbua watu ndio maana hawaishi ku-attack wengine mitandaoni, huenda loneliness, depression nk. Mleta uzi huenda lolote katika hayo linakusumbua.

Live and let live...!
Live to Love...
 
Watoto ndo wanadharau single moms Na wengine mama zao ni single moms zile hasira za wazazi waake kutopatana anahamishia Kwa mama kuwa ni kosa lake. Wakikua wataachaNimeona mkuu. Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom. Atakaenichukia akanywe simu afe maana Hana Mchango wowote kwenye maisha yangu
Nakupenda ujue!!!basi tu!!
 
Malezi ya kiafrika yametujenga kiukatili, ubinafsi na roho mbaya.
Mi niliachana na habari za "watu watanionaje"

Nafanya kile nahisi ni kizuri kwangu na hakiathiri maisha ya mwingine.

Ukiona mtu anamdharau single mom jua huyo ni mbinafsi na mchoyo.

(Ofcoz zaman nilikuwa hivyo, lkn kadri ninavyokutana na watu wenye exposure nimebadilika kifikra).
Bora kua single mama kuliko kurudi kwa ile tafrani hapana kwa kweli!!! Loohh!!

Mimi wanione wanvyoona wao!!!
 
Back
Top Bottom