Eti?*?Mi sina MTU ninaemjua aliekiri kulala na baba yake mzazi. Na nikimjua sitaki mazoea nae hashindwi kulala hata na mwanae
Kama Mimi inavyoniuma Bibi yangu kuhusishwa kwenye upuuzi kisa wivu kwa Mzigua
Eeeh. Chamdeko na Bibi wametolewa kafara tu maskini ya MunguHivi kumbe target ni huyo?
Na asemalo Mzee mwenzangu Asprin kuwa mnajuana ni kweli?Eeeh. Chamdeko na Bibi wametolewa kafara tu maskini ya Mungu
Tatizo humu watu wanatumia muda mwingi kufuatilia watu,sijui ni NJAA au UMASKINI ?Eeeh. Chamdeko na Bibi wametolewa kafara tu maskini ya Mungu
Mzee mwenzangu nakuaminia sina shaka na hiliMi huwa sibahatishi
Ukitoka tutakufuata hukohuko La stanza. DaadekiHahahahaaa.. Babu sio kwamba nimejitoa Nina matatizo na simu. Bby mwenyewe kununua mpya hataki anataka nitoke JF eti
Katahayari baada ya kukosa alichokikusudiaMwenye uzi ulipata majibu yako.
Hahahaha nimecheka mpk mepaliwa na balimi wallahKama Mimi inavyoniuma Bibi yangu kuhusishwa kwenye upuuzi kisa wivu kwa Mzigua
Changamkia tenda Katrina anataka ben10 aweke ndaniSky Eclat yeye danga lake linampeleka india anakutana na vyoo vya ajabu ajabu aache kukesha akisimulia humu? labda cyo mimi!
Demiss ndo kabisaa yeye danga lake (asije nisikia) yeye usiku kucha ni ungo na usinga unazani atalala saa ngapi,
Mzigua90 yeye katulia na Lions Hills na Captain Morgan Bareedi kwenye kikapu na vile vimotomoto vinawaka kwenye kinywaji Ataacha kupiga soga?
AmKATRINA tafuta danga humu, wengi tupo singo... Wakwanza mimi na sisi tuwatambie na kuwatema mate ptuuuuuuu.....
Mama Sabrina mekumic
Dada karibuNi nani eti
umejuaje kama ni mama mtu mzima?Kwahiyo na wewe unamini naweza kuwa nafahamiana na mleta Uzi? Shm.. Labda wenzangu wanamjua Mimi simjui na sitaki kumjua. Wanawake ninaowajua wanatosha huyu mama MTU mzima akakae na wazee wenzie
Hahaahahhaaa. Naomba nimjue na Mimi Dada...Mtoa mada ameshajijua bwahahahaha.
Mfa majiiiiiiiiiiiiiiii.
Na hatukutajiii endelea kutapa tapa hivyo hivyo.
Hivi emoji zimeenda wapi jamani.
Asante dadake MimiDada karibu
Eeeh. Anaona wivu kisa sie bado tuko kwenye chart. Ye si alikua kijana Kama sisi sasa hasira za nini wakati na sisi tutakua wazee Siku mojaKazaa na baba yake, ameshachacha, hana soko. Ana uchungu na mabinti walaini. Nimehisi tu
Nikutakie hapa tuu?Hahaahahhaaa. Naomba nimjue na Mimi Dada...