Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Sky Eclat yeye danga lake linampeleka india anakutana na vyoo vya ajabu ajabu aache kukesha akisimulia humu? labda cyo mimi!
Demiss ndo kabisaa yeye danga lake (asije nisikia) yeye usiku kucha ni ungo na usinga unazani atalala saa ngapi,
Mzigua90 yeye katulia na Lions Hills na Captain Morgan Bareedi kwenye kikapu na vile vimotomoto vinawaka kwenye kinywaji Ataacha kupiga soga?

AmKATRINA tafuta danga humu, wengi tupo singo... Wakwanza mimi na sisi tuwatambie na kuwatema mate ptuuuuuuu.....

Mama Sabrina mekumic
Changamkia tenda Katrina anataka ben10 aweke ndani
 
Back
Top Bottom