Kishinda Online na kazi vinaingiliana vipi unaweza kushinda online masaa 24 na at the same time unafanya kazi masaa 24
1) muuza duka la nguo
2)mkulima
3)Tigo pesa
4)muuza juice bar
6)mwalimu
7)muuza duka rejareja
8)mlinzi
9)fundi nyumba hadi apate kibarua
10)muuza gazeti
11)forex trader
12)Online shopper
13)muuza genge mtaani
14)Investor
15)Youtuber
16)Musician
Izo zote mfano wa kazi ambazo mtu unaweza kuwa muda wote online nakazi zinaenda ifike kikomo cha fikra za kikoloni kwamba wote lazima watoke asubui warudi jioni, ukipigiwa simu nipo bize, anayefanya kazi bila kupata muda izo ni kunyonywa.