Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

uko sahihi, kuna aina ya kazi inahitaji uwepo wako na mikono haishiriki ni kitendo cha kupanga kazi nawe unabaki msimamizi kwa kutupia jicho na ushauri unalazimika, hii inakupa nafasi kufanya mambo mengine ni pamoja na kuperuzi jf
Mzigua90
Yani mi nikiwa kazini ndo Niko free kuingia huku kuliko nikiwa home
 
Fita ni fita mura
 
hujawahi kusuluhisha ugomvi?
hadi mke wa mtu anakwambia "natamani ningeolewa na mwanaume anayejitambua kama wewe"
kauli hii usipojilinda utakula mke wa mtu haha
Hahahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…