Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Umetaja kazi lkn huna unayoijua naamini! Usingekua na mawazo mafupi hvo
 
Hapo kuna wivu gani? Why insecurity?
Wivu wa kijinga sasa kuulizia mtu eti akikaa JF ni jobless, Hana mume sijui nini sikukosa tu akili huko maana hawajawahi enda omba msosi au bando kwao. Heeeh mie na allergy na wambeya tena wasio jiamini
 
Mimi nimefikiri kama another I'd ya mmoja wapo hapo akijitafutia kiki
 
Hivi yule kijana wa kumlea ulimpata kweli maana sijaona mrejesho wako [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Huyu kashindwa kuvumilia naona afungue Na Uzi. Sema nitamfundisha akitaka kukaa online muda wote. Maana asitake kuoga tembo kunya bure akamkera bosi wake sijui mumewe
Ukiwa unamfundisha niulizie Kama kashapata wa kumlea aisee nikafanye kazi ya kupata kipato
 
Hili nalo vibe Kama loteeeeeeeee!!!√√
Umenikumbusha kipindi cha mitihan ya chuo mda wote simu yngu ilionekana iko online kumbe mhuni nawatafta vichaa Wa kuangalia status za wengne mwisho wa siku wakatakwa supplementary exams.....jamaa anafeli Sana'a ila poa tu ndio msimu wa vibee
 
Hahahahaaa. Unataka ukawe ben10 wake?
Pesa hakuna sasa unafikili nitawezaje kulipia bill zangu unafikili plz nimeshikwa pochi empty kweli yaani hata beer sizipati nipigie pass maana huyo ni fan wako
 
Pesa hakuna sasa unafikili nitawezaje kulipia bill zangu unafikili plz nimeshikwa pochi empty kweli yaani hata beer sizipati nipigie pass maana huyo ni fan wako
Nitaongea nae usijali hawezi chomoa. Sema MTU mzima kweli. Anakaribia umri wa Bibi yangu kabisa
 
Kuna wale ukiwa online watsap wanauliza nakuona online tuuu😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…