Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Wivu wa kijinga sasa kuulizia mtu eti akikaa JF ni jobless, Hana mume sijui nini sikukosa tu akili huko maana hawajawahi enda omba msosi au bando kwao. Heeeh mie na allergy na wambeya tena wasio jiamini
1.Mie JF nimeinstall Kwenye Simu Tapatalk,Kwahiyo mda wote napata notification wakianzisha mada kwenye Celeb,Siasa na hbari mchanganyiko,pia natapa notifications kwenye thread ambazo nipo subscribed so inakuja kama message,so mda wote napata ujumbe kwahiyo inakuwa rahisi kujibu na kuona.

2.Pili hata kama umeoa/umeolewa siku hizi watu walioendelea wanavyumba vitatu(Cha mwanamke,Cha mwanamme na Cha KUDO),Wakitaka kuDO wanalala Chumba cha Kudo wakishamaliza shughuli kila mtu anaenda kulala kwenye chumba chake,so masaa mawili ya kuwa pamoja kwenye shughuli akimaliza anakuwa free peke yake kwa room yake.
 
Hata Mimi JF app ipo kwa simu mda wote nikiwa online napata notification hata ka sisomi au kuchangia sasa mwingine akiona hivo anajua unakesha mda wote JF.
 
Dada jaman [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…