Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Tutayamaliza pale atakapoturuhusu nimkague Demiss . Wife, we unajua mila haziruhusu mjukuu kuolewa kabla hajachezwa unyago. Usisahau huyu mshana jr anamuoa mjukuu wetu...

Kwanini hataki nimkague mjukuu wangu ili nithaminishe mahari yake???
Hubby acha uhuni mimi nilikufahamisha kuwa mshana jr amepata mchumba na wanakuja nyumbani kututembelea. Huu undugu na Demiss umeanza lini?
 
Back
Top Bottom